Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
- Thread starter
- #221
dah sawa mkuu watu8 nitafanya review na hata ikibidi nitareview madaftari yangu ya fom wani au nitaazima nikikosa au nikishindwa nitrejea kwako tena.Hahaha!!
Hebu noa kichwa bi mkubwa...kumbuka notsi za mwalimu wako wa Civics form I...
Nakumbuka sisi tulifundishwa hayo, sina uhakika na wewe maana huo ulikuwa mtaala wa zamani...
Last edited by a moderator: