Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,414
- 176,336
Hakika.Bas achague wa saizi yake ambae atasumbuana nae wala hatulazmishani kila mmoja aende kwa ambae anaona anamfaaa ...
Hakika.Bas achague wa saizi yake ambae atasumbuana nae wala hatulazmishani kila mmoja aende kwa ambae anaona anamfaaa ...
Mkuu mimi nshaona hapa kinachogombaniwa ni niniIf he was somebody mbona alikuwa anaomba vibarua vya kazi alipokuwa chuo. Ukweli unauma. Ukisoma story jamaa walianza relationship wakiwa chuo. Na kabla ya kuanza kibarua jamaa kipatochake kilikuwa mkopo wa chuo kikuu
Hakuna haja ya kutukana mpendwa tushindane kwa hoja ...sitaendelea kubishana nawe mana inaonekana una chuki binafs na wanaume na zaid unaona wanaume wote ni Miungu watu kama unavyosema which sio kweli, mwanaume mmoja aliekutenda usipake matope wanaume wote ....Damn you!! Karibia wanawake wooote walioolewa wanafanya kama huyo aloomba ushauri ni vile tu nyie malaika hamthamini kinachofanywa na wake zenu mnajiona miungu watu.
Hao wanawake wengi wa siku hizi unaowalalamikia yaani wako copyright na wanaume wa siku hizi, au unadhani nyie bado mko50's??
Wanacheza mziki mlioupiga wenyewe alafu mnalaumu seriously!! Zimeni mziki muone kama wataendelea kucheza.
Hakuna mapenzi duniani yanayoweza kushamiri bila uvumilivu. Mtu asipokuwa na moyo wa uvumilivu katika mapenzi basi kila mtu utamuona hafai. Kila siku utakuwa mtu wa kuanzisha mahusiano mapya kitu ambacho si kizuri.Matunda ya uvumilivu kwa wapenz ndo hayo ..!!
Walaaa sina chuki binafsi na wanaume kabisaaaa!! Mimi nikitendwa na mmoja ni yeye na walaa siwezi wachukulia wanaume wooote kuwa ni kama yete japo wapo wengine kama yeye!Hakuna haja ya kutukana mpendwa tushindane kwa hoja ...sitaendelea kubishana nawe mana inaonekana una chuki binafs na wanaume na zaid unaona wanaume wote ni Miungu watu kama unavyosema which sio kweli, mwanaume mmoja aliekutenda usipake matope wanaume wote ....
nilichoona hapa ni kwamba wanawake they cant stand mwanamke mwingine akisifiwa, mtaingiza sababu zenu kua wanaume waongo sijui tunajifanya miungu watu had mnaprovoke na kutoa lugha mbaya kisa tu mwanamke fulan kasifiwa alivyo kwa mumewe....
hatuwalazimish muwe [HASHTAG]#michelle[/HASHTAG] ...kila mtu abebe msalaba wake na kila mtu achague wa kuish nae maishan hamlazimishwi wala ambae atakubaliana na matakwa yako well mtaendana nae mkaoane.
Kila mtu mwanamme kwa mwanamke ana mapungufu yake kwa namna yake
kusifiwa kwa michelle na jins aalivyoish na barack msifanye mkatokwa na povu itaendlea kuwepo kua they are best couple ever na ni mfano wa kuigwa... but hamlazimishwi kua kama wao,,
Mbona hajatukana...?Hakuna haja ya kutukana mpendwa tushindane kwa hoja ...sitaendelea kubishana nawe mana inaonekana una chuki binafs na wanaume na zaid unaona wanaume wote ni Miungu watu kama unavyosema which sio kweli, mwanaume mmoja aliekutenda usipake matope wanaume wote ....
nilichoona hapa ni kwamba wanawake they cant stand mwanamke mwingine akisifiwa, mtaingiza sababu zenu kua wanaume waongo sijui tunajifanya miungu watu had mnaprovoke na kutoa lugha mbaya kisa tu mwanamke fulan kasifiwa alivyo kwa mumewe....
hatuwalazimish muwe [HASHTAG]#michelle[/HASHTAG] ...kila mtu abebe msalaba wake na kila mtu achague wa kuish nae maishan hamlazimishwi wala ambae atakubaliana na matakwa yako well mtaendana nae mkaoane.
Kila mtu mwanamme kwa mwanamke ana mapungufu yake kwa namna yake
kusifiwa kwa michelle na jins aalivyoish na barack msifanye mkatokwa na povu itaendlea kuwepo kua they are best couple ever na ni mfano wa kuigwa... but hamlazimishwi kua kama wao,,
Great! Itawasaidia wanandoa watarajiwa kwa kiasi flani kuzikabili chanagamoto za maisha ya ndoa.Kwa kifup tu ni kwamba pia watakapomaliza muda wao in which unakaribia kuisha white house, nimesoma mahal kua wameshakua booked kualikwa katika wedding ceremonies na engagament ceremonies kua kama wasemaji kama washaur kwa maharusi ama kwa wanaotarajia kufunga ndoa
Profesa uko sahihi.Ni kwel,ila kwa obama kapata mtu alie kuw msaidizi kwel kwel,aliefungwanishwa n a jukumu(dhamana)alio itiwa obama kuja kuifanya dunian....so ni mtu wa kufanana nae,mana isingekuw ivo...kitambo sana wangekuw washabwaga,bt ni mtu ambae anaendana na dhamira kuu aliobeba obama....biggest & strongest best couple ever
Hahahahaha! Reciprocate the love to be safe.Hapo baadhi ya wanaume ndo mnapokosea. Unafikiri Michelle alifanya all the loving, the caring, all the patience huku Obama akiwa kajibweteka tu?
If u don't reciprocate the love u are receiving, hata mwanamke aliyeishia darasa la pili utamuona ni mwiba.
Maisha ya kitamthilia yametawala siku hizi kwa wadada wengi.Ujue kunashida kubwa. Wanaume wanapenda sehumu tulivu. Sehemu ambayo akirudi nyumbani anasikilizwa. Madada zetu pengine wana aply principles za kwenye vitabu kwenye familia. Wengi hawapendi kuwa natural. Wengi wamekuwa after cash. Now days no woman will go for Brooke man
Aoneshe msimamo wa kutokubaliana na huo upumbavu.kabanwa na wenye nchi...Afanyeje sasa