Hii inapendeza sana kwa wapenzi

Hii inapendeza sana kwa wapenzi

Mmmmh!! Ila hiyo ya kwenda kushtakiana nayo mmmh!!!
Walikuwa wakikaa wawili hawapati muafaka, though kila mtu alikuwa anajua umuhimu wa ndoa.
It was a good soln, ila walipo kua waliacha nadhan sku hizi wanafinyana ndani kwa ndani, ma wazee wao wenyewe wengi washa fariki now
 
Walikuwa hawajakua,now wamekua.
 
471135fa0f16c9974341af48d1dfa275.jpg

Moja ya my best pictures of them
2009 hiyo siku siku Barrack ametoka kuapishwa wanaenda kwenye inagural balls.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom