Michelle alimpenda barack even when he was nobody,hata useneta nadhan alikua hajaupata, lakin alikua upande wake, hakumuacha sababu alikua hana kitu, she was there for him, kwani michelle alijua atakua kua first lady?? Je ewee mwanamke unaemdharau mpenz wako unayajua ya kesho?? Unayeweka mbadala wa pesa na sio upendo,
Mfano michelle angemdharau barack
[HASHTAG]#MyMichelleIsOnTheWay[/HASHTAG]
Mkuu PATO, hii relationship ya Obama na Michelle ni moja ya couple ambazo ni mfano wa kuigwa kabisa nilizowahi kuziona.
Mwaka 1988 Barack akiwa kama mwanafunzi wa Law school baada ya kumaliza mwaka wa kwanza, aliamua kwenda kutafuta kazi kwenye moja wapo ya taasisi za mambo ya kisheria ijulikanayo kama sidley & austin law firm huko Chicago na kabla ya hapo alikuwa ameshajaribu kuomba sehemu zingine ila hakufanikiwa. Ni sehemu hiyo hiyo aliporuhusiwa kufanya kazi na kumkuta Michelle akiwa ni mmoja wapo ya wafanya kazi waliopo pale na Michele ndio alikabidhiwa Obama awe mshauri wake..!! Obama anasema kadri siku zilivyoenda her good characters na ukaribu waliokuwa nao ndio vilimfanya ashindwe kuficha hisia zake kwa Michelle na kilichomvutia hasa ni urefu, mara kwa mara alipenda kumtania na hata kufikia hatua ya kumuomba out ambapo Michele mwanzoni alikataa lakini baadae alikuja kukubali na siku alivyokubali ndio ukawa mwanzo wa mahusiano yao. Kipindi chote hicho pesa aliyoitumia obama kwa mahitaji yake ilikuwa ni ya mkopo toka chuo.
Walikuja kuoana mwaka 1992 wakaja kupata mtoto wao wa kwanza 1998. Hiyo 6 years walikuwa wana struggle kutengeneza life kwanza hili waje wawe na familia iliyo bora yenye kupata mahitaji yote muhimu bila kutetereka, na ndio maana hata Obama alijitosa rasimi siasani mwishoni mwa 90's baada ya kuwa ameshajijenga vya kutosha.
Mwaka 2004 baada ya kuwa household name na kushinda useneta wa Illinois, Michelle aliamua kuacha kazi aliyokuwa anafanya na kumsapoti mme wake kwenye safari yake ya kisiasa kwa ukaribu zaidi na waliambatana wote kwenye congragetional events nyingi tu. 2008 kila binadamu aliyekuwa hai na ufahamu wake anajua nini kilitokea kwenye taifa la marekani.
UKIANGALIA HISTORIA YA HAWA WATU...!!
Utaona Michelle ni mwanamke mwenye akili sana na ana farsightedness ambayo ni very rare kuikuta kwa wanawake walio wengi, Michelle since day one realized the potentiality in Obama and she actually knew what this man would probably become if he gets someone to standby him to keep going in right direction. She didn't value Obama by his wealth neither his handsomness instead she chose to forfeit her feelings by characters and ambitiousnes.
Sasa turudi kwenye mazingira yetu, ni madada wangapi wa kitanzania ambao wako tayari kuwa na mtu wanaemzidi kipato na walingana kielimu?
ni madada wa ngapi wa kitanzania wanaomthaminisha mtu kwa kumuangalia kichwani yukoje na sio wallet?
Na madada wa ngapi wa kitanzania ambao wako tayari kugive up their career jobs na kumsapoti mwanaume pale anapoingia kwenye jukumu zito?
Ni madada wa ngapi wa kitanzania wako kama michelle Robnsom?
Nikiwa kama mwanaume naona ukifanya uchaguzi mbovu kwenye kuoa unakuwa umeharibu future yako na ukifanya uchaguzi sahihi utafika hata pale ambapo hukutarajia katika kutimiza malengo yako.