Ha ha mkuu katika watu wanaongoza kucopy vitu vya ajabu ajabu ni wanawake. Anza makalio ya kichina, matiti ya kichina, plastic surgery. Ndo maana tunawaona miiba maana wenzetu mmekuwa sio wa dunia hiiHahaaaa!! Mnaogopa kuoa sio kwasababu ya wanawake, just because yo not man eneogh to handle the marriage. Jiulize kwanini unafikiri wamekuwa mwiba? Mwiba hautembei hadi wewe uufuate uukanyage kwahiyo haupaswi kuulaumu bali ujilaumu kwanini ulikuwa peku hadi ukanyage mwiba.
Hebu ifikie hatua muadmit makosa yenu na msijione malaika na wanawake ndio tatizo. Nyie si ndio vichwa? Hebu tumieni hivyo vichwa basi.
Usilolijua ni kama usiku wa gizaKama hauko hivyo huwezi kukutana nae.
Kula heko mkuuSiwezi kujibu hilo swali na hata nikijibu pengine ntaonekana najisifia sababu hapa am not advertising my self am saying my views concerning the issue on the table... lakini ungelikua katika relationship na mimi pengine ndo ungepata majibu ya swali lako.

Haha dah aise,,hivi ukampenda mwanaume wako katika hali zote na yeye anajituma ataacha kukuhudumia kwa uwezo wake?? Tatizo wanawake wengi wa sikuhizi wanataka mambo makubwa kushinda uwezo wao mambo hua yanaenda taratibu, raha iliyoje mnakula matunda ya uvumilivu wenu na mlipotokea chini had mkawa na vingi sasa...lakin yote hayo kama hamna Mungu katikati yenu ni kaz bure ...kuna thread moja humu mwanamke anaomba ushauri amsaidie vipi mumewe aongeze kipato chake kutoka biashara anayofanya...ni wanawake wangapi wana moyo huo??Utulivu nyumbani unahudumia lakini?umesimama kwenye nafasi yako kama mwanaume vizuri?
Wanaume nao mnabadilika sana ndo mana mtu akizipata anaona mwanamke alienae sio wa hadhi yake anatafta mwingine, nani anahitaji hio kadhia na maumivu?.. Wanaume wangapi pia wanapenda magolikipa sikuhizi?.. Wangapi wanahudumia wake/girlfriends zao 100%?
Si ndio mtumie hivyo vichwa sasa kupingana na hayo, funy enough pesa zenu ndio zinafanya yote hayo kwa kiasi kikubwa!! Sasa kama mmeshindwa kusimama kama wanaume mnategemea wanawake wafanye nini?Ha ha mkuu katika watu wanaongoza kucopy vitu vya ajabu ajabu ni wanawake. Anza nakalii ya kichina, matiti ya kichina, plastic surgery. Ndo maana tunawaona miiba maana wenzetu mmekuwa sio wa dunia hii
Ni kweli kabisaaa ndio maana unalalamikaUsilolijua ni kama usiku wa giza

Shida ni pale anajua kipato chako na anadai kitu ambayo iko beyound your limit. Ukisema huna pesa utasikia hunijali. Yaani wao kujaliwa ni kupewa dunia nzima pengine wataridhikaHaha dah aise,,hivi ukampenda mwanaume wako katika hali zote na yeye anajituma ataacha kukuhudumia kwa uwezo wake?? Tatizo wanawake wengi wa sikuhizi wanataka mambo makubwa kushinda uwezo wao mambo hua yanaenda taratibu, raha iliyoje mnakula matunda ya uvumilivu wenu na mlipotokea chini had mkawa na vingi sasa...lakin yote hayo kama hamna Mungu katikati yenu ni kaz bure ...kuna thread moja humu mwanamke anaomba ushauri amsaidie vipi mumewe aongeze kipato chake kutoka biashara anayofanya...ni wanawake wangapi wana moyo huo??
Ukiona hivyo basi ujue na mwanamke anaejielewa nae kaishia kwa dume jike, hivyo mtafute mbadilishane.Ah wap. Kunawatu "wanaume" wanajielewa na likini wanaishia kwa majike dume
Kwakwel mtabaki mnakazania point ya upotential lakin ukwel unabak pale pale kwamba love ili wa bind them pamoja ...achilia mbali elimu zao ...kwaio unataka kuniambia barack aliangalia elimu ya michelle ama michelle aliangalia elimu ya barack...hivi mmesikiliza vizuri alichoongea juzi katika hotuba yake ya kuwaaga wamerakani? Wakat anaongea na michelle?,,mlimsikiliza aliongea nini?Obama was not a nobody jmn ukweli uwekwe wazi,both Obama and Michele were professional lawyers,u can imagine the potential he had enzi hizo za ubaguzi mtu mweusi anasoma Harvard,
magari walikuwa nayo and shortly after their marriage they bought a house unadhani ni nobody hao??there was potential... Michelle nae kaenda shule hatari...and uzuri she's an elite and a woman pia.,
wanaume na wanawake wote ni vyema tukajiandaa na maisha ya baadae,maandalizi yanaanzia ujananii...
Nitasimama kama mwanaume lakin with the right woman pembeni yangu na bahat nzur Mungu anajua wanapopatikana na ukimuomba atakuonyesha.T
True, amuwezi kufikia level za kina Obama Kama ni mmoja tuh anayepigania ilo penzi, lazima achoke ata awe na upendo wa aina gani,
Simama kama mwanaume wa kweli ili upate nawe kulia kama Obama,...
Damn you!! Karibia wanawake wooote walioolewa wanafanya kama huyo aloomba ushauri ni vile tu nyie malaika hamthamini kinachofanywa na wake zenu mnajiona miungu watu.Haha dah aise,,hivi ukampenda mwanaume wako katika hali zote na yeye anajituma ataacha kukuhudumia kwa uwezo wake?? Tatizo wanawake wengi wa sikuhizi wanataka mambo makubwa kushinda uwezo wao mambo hua yanaenda taratibu, raha iliyoje mnakula matunda ya uvumilivu wenu na mlipotokea chini had mkawa na vingi sasa...lakin yote hayo kama hamna Mungu katikati yenu ni kaz bure ...kuna thread moja humu mwanamke anaomba ushauri amsaidie vipi mumewe aongeze kipato chake kutoka biashara anayofanya...ni wanawake wangapi wana moyo huo??
Haha mkuu nachojua hakuna mwanamke mkamilifu lakin wanawake bora kama michelle wapoShe is out there,just be Obama to get her.
Nawe kwanini ukubali kiwe nje ya uwezo wako?? Huyo ni chaguo lakooooo......Shida ni pale anajua kipato chako na anadai kitu ambayo iko beyound your limit. Ukisema huna pesa utasikia hunijali. Yaani wao kujaliwa ni kupewa dunia nzima pengine wataridhika

Now yo talking.Nitasimama kama mwanaume lakin with the right woman pembeni yangu na bahat nzur Mungu anajua wanapopatikana na ukimuomba atakuonyesha.
Pengine hakuna wanaume wakamilifu lakini wanaume bora ambae anaweza kusimama mbele ya macho ya watu na kusema wewe ni bora kwake, wapo na Mungu anajua wallipo ni kumuomba akuonyesheNaamini ii hali yawadada kuwa ivi imetokana na uongo ulokisiri kwa wanaume,
Unamkuta mwanaume anaenda mtokee mdada tena wale wadada walolelewa, wenye maadili yao unamdanganya na kumrubuni vyakutosha, utakuwa mtu hukuwa ili tuh umpate, mdada wa watu ataamini na kuwa nawewe kitakochofata ni mtihani tuh, kumuumiza na kumliza kila siku ivi apo unatengeneza nini unategemea ataekuja baada yawewe atamtreat vipi, lazima alipize maumivu na kutkea ayo uloyasema,
Wanaume muwe na ukweli jamani, mnakuwa waongo Sana na mnataka wakina michelle
Hayo ndio maneno sasa.Haha mkuu nachojua hakuna mwanamke mkamilifu lakin wanawake bora kama michelle wapo
Nimeshaona hapa kuna mgongano kila upande unajiona malaika.Haya mambo mnayaexagerate sana, mbona wapo wengi tu, kwani akina mama Salma,Anna,Janeth walianza na waume zao wakiwa na kipato gani??
Hao hao unaodai wana hali za chini ndio kwa kiasi kikubwa sana wanaoa,kwani wanaoa wanawake wa nchi gani? Suala la mahusiano ni la wawili hivyo likifail basi ujue wote mmechangia kwenye kufail kwake.
Na wanaume wengi wa kitanzania waliofanikiwa basi wengi walianza chini sana na wake zao,ila wakishafanikiwa ndio mabalaa yanaibuka,but unakuta wake zao wapo nao tu, na wengine hudiriki kabisa hata kuacha wake zao maana wakati huo ndio wanakuwa hawafai bali dogodogo ndio wanafaa, hebu ifike hatua muwape credit zao muone na mazuri yao.
Tatizo letu watz ukikataliwa na mwanamke au ukiachwa basi unahukumu wanawake wooote,akikuacha basi shukuru,muache aende as maybe kubaki nawe ndio ingekuwa anguko lako,hakuwa wako huyo,wa kwako atabaki nawe katika hali zote.
Bas achague wa saizi yake ambae atasumbuana nae wala hatulazmishani kila mmoja aende kwa ambae anaona anamfaaa ...Hapo wewe ndio pepo maana unamlazimisha kuchagua kitu mbacho sio chaguzi yake. Let her be tafuta aliewako usilazimishe kuwa na mtu ambae yeye wewe sio chaguzi yake you ll sufer!! Hivi wanaume huwa mnadhani wanawake hawapaswi kuchagua? Bali wewe ukishamchagua inatosha!!
Umemaliza vyema, msitegemee mtuponde alafu tuwaangalie tu.Nimeshaona hapa kuna mgongano kila upande unajiona malaika.
Nseme tu kua kama hamna upendo wa dhati wa kuvumiliana kwa mapungufu mliyonayo na kusaidiana kwa kila hali huku mkimtegemea Mungu na kuwa watu wa kuomba nyinyi wawili bas nseme hakuna litakaloendelea kati yenu