Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,165
If he was somebody mbona alikuwa anaomba vibarua vya kazi alipokuwa chuo. Ukweli unauma. Ukisoma story jamaa walianza relationship wakiwa chuo. Na kabla ya kuanza kibarua jamaa kipatochake kilikuwa mkopo wa chuo kikuuObama was not a nobody jmn ukweli uwekwe wazi,both Obama and Michele were professional lawyers,u can imagine the potential he had enzi hizo za ubaguzi mtu mweusi anasoma Harvard,
magari walikuwa nayo and shortly after their marriage they bought a house unadhani ni nobody hao??there was potential... Michelle nae kaenda shule hatari...and uzuri she's an elite and a woman pia.,
wanaume na wanawake wote ni vyema tukajiandaa na maisha ya baadae,maandalizi yanaanzia ujananii...