Ugm bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,152
- 5,663
Hii mada chungu kwao., siwaoni humu wakishambulia kama wanavyofanyaga kwenye mada zingine
Demokrasia ni pamoja na kukabiliana na maoni ya hata yale yasiyokupendeza........
Kukabiliana sio kupigania wala kukubaliana...Demokrasia ni pamoja na kukabiliana na maoni ya hata yale yasiyokupendeza........
Kukabiliana nazo sio kupambana nazo bali kujibu kwa hoja na ikibidi kukubali kutofautiana..........Kukabiliana sio kupigania wala kukubaliana...
I might disagree with what you say but I will defend it to the death for your right to say it... (binafsi naamini katika freedom of speech / fikra huru) lakini haimaanishi ku-support nisiyokubaliana nayo..., vilevile hoja zikiwa ni za nguvu za kunipinga mimi sio jiwe naweza nikabadilika kutokana na nguvu hizo za hoja...
Keyword hapa ni hoja...
Kuna wakati Tanzania haikuwa na ndege Chadema na wanaharakati wakaongea sana, Serikali ya 5 ikanunua hizo ndege, Chadema wakaponda sanaUkitazama kwa makini utagundua kuwa wanaharakati wengi hapa nchini hawapiganii kile kinachoonekana bali kile kinachowapendeza mioyoni mwao....
Alikuwa Clubhouse akikazia misimamo yake kuhusu Ngorongoro na Royal Tour. Ameeleza wazi kuwa hana mpango wa kuhama chama na kuwa ameongezewa maneno ambayo hakusema na wahasimu wake wasiomtakia mema. Wanachama wenzake kuwa na mawazo tofauti na yeye na kumpinga waziwazi ni uthibitisho wa uhuru wa maoni unavyothaminiwa na chama chake. Hii ni tofauti na nyie ambao hamuoni aibu kula matapishi yenu.Watanzania tuwe makini ...
Uhuru wa maoni ni moja kati ya ajenda ambayo Chadema wanasema wanaipigania kupitia katika katiba mpya, Leo mchungaji msigwa katoa maoni yake kuisifia royal tour na mama Samia, Chadema wanamshambulia, hivi hawa hiyo katiba mpya wanayoitaka wanajua maana yake?
Hawa mwendazake aliwapiga pini uhuru wa maoni na wakamwita dikteta, Sasa mbona na wao ni JPM lakini kwa ngozi ya upinzani? Tukiwakabidhi nchi hawa si watafungia magazeti na redio zote?
Upinzani au chama imara kinajengwa na ajenda imara zenye maono na maslahi mapana ya taifa.....kila chana Cha siasa duniani kinatambulika kwa ajenda zake na sio kurukia matukio ya msimu.......Kuna wakati Tanzania haikuwa na ndege Chadema na wanaharakati wakaongea sana, Serikali ya 5 ikanunua hizo ndege, Chadema wakaponda sana
Magufuli akajifungia hasafiri, wakamsema mno kuwa atoke ajiunge na viongozi wenzake.
Samia kaanza safiri wamemsema sana.
Wakaongelea utangazaji utalii, wamemssma Mama wa watu..
Kuna yule alijificha kwenye kichaka cha wanyonge akaishia kupiga zaidi ya 2tr. Ila wanyonge na Sukuma gang mpaka leo hawaamini kama mungu wao kafaDemokrasia ya Chadema ilikufa rasmi mwaka 2005. Baada ya hapo mwenyekiti aliekabidhiwa madaraka akaanza kuajiri wanywa gongo, wanywa viloba, mateja, vibaka nk katika chama chake. Akiamini kuwa hao ndio watu ambao anaweza kuwatala kiurahisi apendavyo ndani ya chama kama tunavyoona kwa macho yetu wenyewe. Kifupi hao watu niliowataja hapo juu ndio wengi ndani ya chama na ndio hao wanaoharibu taaswira ya chama chao, kwa kila wanaemuhisi kuwa anakwenda kinyume na ile kanuni ya kushikiwa akili na mwenyekiti. Mwenyekiti ashagundua kwamba hilo kundi anaweza kulipa malipo kidogo, lakini likasababisha athari kubwa za kisiasa kwa maadui zake kama tulivyoona kwa kina Zito, Chacha Wangwe, Dr Slaa, Mwigamba, Kubenea nk.
Mbona akili kama Mwendazake au Bashite? Unaweza kusema wapi na nani kamzuia?Mkuu, wewe umeona kuhusu uhuru wa maoni tu. Lkn chadema ni taasisi ya utawala wa kimla pia tyrant. Kama unabisha, jaribu kugombea uenyekiti wa chama ndiyo utaelewa. Utapewa kauli moja tu, sumu haionjwi.
Mbona unakwepa kuweka ushahidi wapi na nani kamzuia? Hizi ni tabia za sukuma gangWajanja sana, washaambiana kwamba wakichangia Uzi unapanda juu
Kuna wakati Tanzania haikuwa na ndege Chadema na wanaharakati wakaongea sana, Serikali ya 5 ikanunua hizo ndege, Chadema wakaponda sana
Magufuli akajifungia hasafiri, wakamsema mno kuwa atoke ajiunge na viongozi wenzake.
Samia kaanza safiri wamemsema sana.
Wakaongelea utangazaji utalii, wamemssma Mama wa watu..
Kama unajua yote hayo na still hujaanzisha chako basi wew huna tofauti na wale wanaojiita sukuma gangUpinzani au chama imara kinajengwa na ajenda imara zenye maono na maslahi mapana ya taifa.....kila chana Cha siasa duniani kinatambulika kwa ajenda zake na sio kurukia matukio ya msimu.......
Ndio maana hapa nchini baadhi ya vyama Kuna vipindi vinapoa na kupotea baada ya kukosa au kupita upepo wa matukio......
Inatakiwa mtu anayechagua kujiunga na chama asiwe na shaka na ajenda za chama alichoamua kukiunga mkono.....
Kama hivyo ndivyo unavyoona basi na iwe hivyo.....ila utashi wangu ni tofauti na mtazamo wako....Kama unajua yote hayo na still hujaanzisha chako basi wew huna tofauti na wale wanaojiita sukuma gang
Wewe ni chama tawala, maoni Yako ni PROPAGANDA tu.Watanzania tuwe makini ...
Uhuru wa maoni ni moja kati ya ajenda ambayo Chadema wanasema wanaipigania kupitia katika katiba mpya, Leo mchungaji msigwa katoa maoni yake kuisifia royal tour na mama Samia, Chadema wanamshambulia, hivi hawa hiyo katiba mpya wanayoitaka wanajua maana yake?
Hawa mwendazake aliwapiga pini uhuru wa maoni na wakamwita dikteta, Sasa mbona na wao ni JPM lakini kwa ngozi ya upinzani? Tukiwakabidhi nchi hawa si watafungia magazeti na redio zote?
Naona muhusika ameguswa na ujumbe wang, so kaamua kukutuma mkewe uje uzuie mashambulizi.Kuna yule alijificha kwenye kichaka cha wanyonge akaishia kupiga zaidi ya 2tr. Ila wanyonge na Sukuma gang mpaka leo hawaamini kama mungu wao kafa
Watanzania tuwe makini ...
Uhuru wa maoni ni moja kati ya ajenda ambayo Chadema wanasema wanaipigania kupitia katika katiba mpya, Leo mchungaji msigwa katoa maoni yake kuisifia royal tour na mama Samia, Chadema wanamshambulia, hivi hawa hiyo katiba mpya wanayoitaka wanajua maana yake?
Hawa mwendazake aliwapiga pini uhuru wa maoni na wakamwita dikteta, Sasa mbona na wao ni JPM lakini kwa ngozi ya upinzani? Tukiwakabidhi nchi hawa si watafungia magazeti na redio zote?
Ukiona mtu anaanza matusi basi jua kaishiwa hojaNaona muhuka ameguswa na ujumbe, so kaamua kukutuma mkewe uje uzuie mashambulizi.