Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,954
- 7,113
AmKATRINA ndio nani, huwa naona anatajwa sana halafu hata simjui!!
Wewe bado humjui? hayupo lakini anavuma!
AmKATRINA ndio nani, huwa naona anatajwa sana halafu hata simjui!!
Ananjijua mwenyewe si unajua tena mambo ya Ids 200 haya......
Ntawapa hi kaka baba junior
Pamoja sana mkuu watu8 ,wapi Eliah G Kamwela, mzungu mndali, Jacaranda ndio kwetu, na yule wa Nearby, nearby, thinnk dejayz sijui
Uzushi mtupu
Pamoja sana mkuu watu8 ,wapi Eliah G Kamwela, mzungu mndali, Jacaranda ndio kwetu, na yule wa Nearby, nearby, thinnk dejayz sijui
Mazee nipo ndani ya Mbeya, ni mpana kupita maelezo,itakuwa poa kama tutaonana japo kwa wale itakaowezekana, pamoja sana full love. I LOVE MY MOTHERLAND
Bila shaka no Soweto hapo. Weka oda ya mguu wa mbuzi hapo jikoni, najaKama kweli upo jiji la kijani nakusihi jongea shaba Pub tafadhar!
Bila shaka no Soweto hapo. Weka oda ya mguu wa mbuzi hapo jikoni, naja
Oyoooooo!!wana mbeya mpo?