Hey Wana CHIT CHAT wa Green City MBEYA

Hey Wana CHIT CHAT wa Green City MBEYA

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,551
Mazee nipo ndani ya Mbeya, ni mpana kupita maelezo,itakuwa poa kama tutaonana japo kwa wale itakaowezekana, pamoja sana full love. I LOVE MY MOTHERLAND
 
Mtafute MzunguMndali, Eliah G. Kamwela(huyu mzee wa Jacaraanda) halafu kuna jamaa mwingime anajiita Jacaranda .... nimesahau jina lake kamili.
Ila huko najua utawapata na wengine wengi tu...
 
Mazee nipo ndani ya Mbeya, ni mpana kupita maelezo,itakuwa poa kama tutaonana japo kwa wale itakaowezekana, pamoja sana full love. I LOVE MY MOTHERLAND

safi sana..wasalimie mkuuu
 
Last edited by a moderator:
tumzomee mpenzi wangu......
Hiloooooooooooooooooo................. Li- Baba V limedoda:crutch::crutch::crutch::crutch::crutch:

mi mpenzio??? Umevurugwa wewe, unaitazama kwa wasiwasi tisa unadhani ni sita ee!!?
 
Last edited by a moderator:
Ni bahati mbaya nipo nje ya jiji la kijani aisee, kila la kheri Mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom