Hey chit-chat, I'm back again!!

karibu sana mkuu Pombekali
tupo familia ya chit chat ikiongozwa na mkuu wao Asprin, Bishanga jitu la fedha na majigambo kuna mzee wa wake za watu na ngeu zisizoisha za kuwania wake za watu Erickb52 , mzee wa bottle Arushaone na mwezake Kaizer, lawyer asiye na ofisi Ruttashobolwa, mzee wa kuchungulia visivyochunhuliwa Baba V na Vin Diesel, upande wa siasa kuna @st paka mweusi, Filipo japo kahamia chit chat kwa sasa, Katavi na mzee wa story za ijumaa Mtambuzi na wenzake akina Safari_ni_Safari na Mkirua warembo wetu gfsonwin, snowhite, Kaunga, Blaki Womani, Preta, King'asti, Yummy, cacico, AshaDii, beibe nasty, charminglady, Ciello, sweetlady na Kongosho
 
Last edited by a moderator:

Good. . .
Mpe na juice ya nyanya!
 
Mi nipo tu naona watu wanavyomshobokea Erickb52 mi nilimwambia hapana nilikuwa busy natafuta namna ya kumtuliza mtu nimeipata sasa hivi yupo ndani ya chupa ndo mana hamumuoni

Huyo atakuwa feki, halisi ninate mie nimemtuliza chumbani twajilia vyetu
 
Ni aje wadau wa jamvi hili, ni kamuda kidogo nilipotea sio tu chit chat bali JF kwa ujumla, nipeni yaliyojiri katika miezi hii mitatu of my absence, lete habari@Kaizer Mr Rocky Erickb52, kaka mkubwa Baba V Arushaone, Mamndenyi, Mtambuzi, cacico, gfsonwin, Bishanga, ruttashoborwa, Judgement, C6, charminglady, sweetlady, Preta, zomba, Katavi, Arabela, Ruhazwe JR LUNDENGA, BadiliTabia, Amyner, The secretary, Boflo, nyumbakubwa, snowhite, Safari_ni_Safari, Mkirua, na wengineo, naona kuna sura ngeni kibaaao, kuna sura kama Ritz, PakaJimmy, Filipo zimekimbia nini kule jukwaa la siasa, !???? I like it here, happy to be back!! pamoja saaaaana my people!

Yaliyojiri ni sisi kunywa pombe laini baada ya POMBEKALI kukosekana
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom