Wana chit-chat karibuni weekend tuifutili mbali wiki hii.

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Wanajamvi ni dhahiri kuwa wiki hii tumeshuhudia mvurugano mkubwa sana hasa dar hii na kule zenji jambo ambalo limenifanya nitumie muda mwingi kule jukwaa la stress tukipeana za uso na wadau wengine, sasa leo asubuhi nimeanza rasmi wikend kwa ajili ya kuflash stress zote,siku nzima ya leo jumamosi na kesho jumapili nitapatikana mfululizo Makirikiri bar nataka kuifuta wiki hii katika hesabu zangu za mwaka.karibtni makirikiri thìs week end.
C.C
Kaizer,mtambuzi,Nazjaz,Arushaone,C6,Sweetlady,Mamdenyi,Bishanga,Ritz,Erickb52,Arabela,Pombekali,safari ni safari,Mzizimkavu,mkiva,Katavi,Zubedayo_Mchuzi,charminglady,Kongosho,gfsonwin,Asprin,cacico,Ruhazwe Jr,BADILITABIA,Masopakyindi,Gwangambo,Excutive sister,Lara 1,zomba,Mama wawili ,you are all welcome
 
Last edited by a moderator:
Tunakuja Baba V nawe njoo na Mama V mimi nakuja na wake zangu newly wed Preta na Blaki Womani na tukubaliane kwanza, HAKUNA SCREENING. Vipi una taarifa za mzee mwenzetu Mtambuzi? Si unajua jana kapata kisingizio? Asijekuwa amefumaniwa halafu....
 
mkulu@Arushaone Mama v atakuwepo kama kawa, ila hizo ndoa zako duh! Bila screening kweli? Hofu yangu ni mgongano wa kimaslahi na wadau wengine hapo baadae
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi kaamkia gesti then kaenda kuzimua na mazimuzi yake kaenda kuyafanyia pale kwake Mtambuzi Pub Tabata Ubaya Ubaya. Mpaka sasa anaendelea na stock taking pale bar yake. MAMA NGINA NI MZAZI MBICHI!!! Hii ni taarifa isiyo na hata tone la shaka.
 
vipi Mtambuzi hakusingizia kuwa alitekwa pamoja na yule sheikh wa muamusho!? kazi anayo kwa Mama Ngina
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Leo nakuja kwa roho nyeupe....tena mapema...
Ila nipo single kama vipi akijitokeza mdada aliye single naye mwambie nakuja mkuu

We njoo tu mkuu, mi nimeamka muda mrefu nikapiga mswaki kwa kutumia Jack Daniels, kidogokidogo naanza sahau machungu ya wiki hii
 
We njoo tu mkuu, mi nimeamka muda mrefu nikapiga mswaki kwa kutumia Jack Daniels, kidogokidogo naanza sahau machungu ya wiki hii

Mpaka sasa sielewi jana nilikuwa bar gani. Dah kadi ya mwaliko sina lakini wacha nije kichwa kichwa nikapunguze stress. Nikifukuzwa ndo ntakuwa nimesahau machungu ya wiki I took much time kwenye jukwaa la stress kumbe mko huku!
 
Baba v ! Habari za masiku ?
Mi najua hujanialika, nilikua napita njia tu, ila naulizia hiyo list ulioishusha hapo ndy ya vya p popular wa cc au ? Manaake sijaona "mfia parokia" au "ustazi" yeyote ktk list !
Nway kua na J'2 tulivu .
 
Back
Top Bottom