I'm back again..., Ummu kulthum na Eliah G Kamwela nawahitaji hapa.

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Mwenyekiti nimerudi wapendwa na wapenzi wangu, kwanza kabisa ningependa kujua ndoa ya passion lady na Ruttashobolwa imeshafungwa...!?? maana hadi napelekwa guantanamo niliacha kamati ziko busy na maandalizi, nimefika nyumbani tu nakuta kuna barua imeletwa na oldd vampire kutaka kufunga ndoa na stevoh, nahitaji kupata neno toka kwa wawili hawa, .

Wapendwa msishangae kuona mwenyekiti nimeandamwa na jinamizi la ban, Hii ni kutokana na msimamo wangu usioyumba katika kutetea wanyonge na raslimali za nchi hii dhidi ya wajinga flani wagumu kuelewa kiasi kwamba huwa nalazimika KUWABUTUA ili point ziwakae vichwani, na.ndo hapo Mume wa King'asti anaponikamatia, .
Kutokana na kukosekana kwangu mara chache hapa imefikia hatua kuna Id tajwa pale kwenye heading zimekomaa eti ning'olewe, Nilishasema kuwa hapa sitang'olewa kwa majungu ya watu bali nitapumzishwa kwa ridhaa ya wana Chit chat na mimi mwenyewe kwani mimi na chit chat HATUKUKUTANA BARABARANI..teh teh teh

Wapendwa ili kuepusha msongamano wa majukumu napenda kuwaambia kuwa hivi karibuni nitateuwa wasaidizi wa mwenyekiti watakaokuwa wanakaimu nafasi ya mwenyekiti endapo ikitokea dharula..ntarudi ngoja nikamuone Mama v kabla sijapigwa ban nyingine maana hii ya mara ya mwisho nilikamatwa kabla hata sijafika home.

Copy: ( eliah G Kamwela , Gonzaga Ngonyani Mpenda Yesu) Kwa sababu maalumu.

Copy: Filipo, Judgement , watu8 , Ndelejha Mamndenyi , Mr Rocky measkron , snowhite , Arushaone, Madame B Dr.zero Kipipi , Erickb52 , Zion Daughter, Ismail N. Juma, Chimbuvu , Slave, noahism , cacico , gfsonwin , Dena Amsi Vin Diesel , BAK Mentor , Evelyn Salt , C6 , amu , Arabela , Paw , Bishanga, charminglady , nitonye sweetlady, mkiva , kyanaKyoMuhaya PakaJimmy, Mungi , Mwanyasi , Chilli tedo stevoh , chardams , Preta.........

Nitarudi.......

Baba V
 
Last edited by a moderator:
karibu tena BABA V,ndoa yangu na Ruttashobolwa wangu bado hatujafunga,tulikua tunasubiri urudi,pia chimbuvu bado ana chuki binafsi na bby wangu wala usimsikilize,Chimbuvu alikua anaongoza maandamano ya kukupinga asijishaue kisa umerudi!wasiliana na swr wangu atakupa tarehe ya harusi!
 
Hivi unajua kuwa ummu kulthum anataka kushika kiti chako?
Nahisi alikuhonga tunda uachie madaraka na naamini utaachia tu
Mi yangu macho!
Anahitaji pumziko baada ya platozoom kupotea lol

Huyu binti asione vyaelea akadhani ni mitumbwi..., nilikuwa namchungulia tu kupitia nondo za selo alivyokuwa anaruka sarakasi hapa na kanga yake moja. yule bado sana
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndio mwenye mamlaka ya kufungisha ndoa humu si mwingine! Labda achaguliwe kaimu wako kwa wakti ambao hutakuwepo!

Mwenyekiti nimerudi wapendwa na wapenzi wangu, kwanza kabisa ningependa kujua ndoa ya passion lady na Ruttashobolwa imeshafungwa...!?? maana hadi napelekwa guantanamo niliacha kamati ziko busy na maandalizi, nimefika nyumbani tu nakuta kuna barua imeletwa na oldd vampire kutaka kufunga ndoa na stevoh, nahitaji kupata neno toka kwa wawili hawa, .

Wapendwa msishangae kuona mwenyekiti nimeandamwa na jinamizi la ban, Hii ni kutokana na msimamo wangu usioyumba katika kutetea wanyonge na raslimali za nchi hii dhidi ya wajinga flani wagumu kuelewa kiasi kwamba huwa nalazimika KUWABUTUA ili point ziwakae vichwani, na.ndo hapo Mume wa King'asti anaponikamatia, .
Kutokana na kukosekana kwangu mara chache hapa imefikia hatua kuna Id tajwa pale kwenye heading zimekomaa eti ning'olewe, Nilishasema kuwa hapa sitang'olewa kwa majungu ya watu bali nitapumzishwa kwa ridhaa ya wana Chit chat na mimi mwenyewe kwani mimi na chit chat HATUKUKUTANA BARABARANI..teh teh teh

Wapendwa ili kuepusha msongamano wa majukumu napenda kuwaambia kuwa hivi karibuni nitateuwa wasaidizi wa mwenyekiti watakaokuwa wanakaimu nafasi ya mwenyekiti endapo ikitokea dharula..ntarudi ngoja nikamuone Mama v kabla sijapigwa ban nyingine maana hii ya mara ya mwisho nilikamatwa kabla hata sijafika home.

Copy: ( eliah G Kamwela , Gonzaga Ngonyani Mpenda Yesu) Kwa sababu maalumu.

Copy: Filipo, Judgement , watu8 , Ndelejha Mamndenyi , Mr Rocky measkron , snowhite , Arushaone, Madame B Dr.zero Kipipi , Erickb52 , Zion Daughter, Ismail N. Juma, Chimbuvu , Slave, noahism , cacico , gfsonwin , Dena Amsi Vin Diesel , BAK Mentor , Evelyn Salt , C6 , amu , Arabela , Paw , Bishanga, charminglady , nitonye sweetlady, mkiva , kyanaKyoMuhaya PakaJimmy, Mungi , Mwanyasi , Chilli tedo stevoh , chardams , Preta.........

Nitarudi.......

Baba V
 
Last edited by a moderator:
Tena unataka nitoe siri unayoificha? Unataka niseme hadharani kuwa ulishawahi kutoa mimba yangu niseme? Usione nimekaa kimya ntakulipua Baba V hoja binafsi zinaruhusiwa humu CC ama ?

karibu tena BABA V,ndoa yangu na Ruttashobolwa wangu bado hatujafunga,tulikua tunasubiri urudi,pia chimbuvu bado ana chuki binafsi na bby wangu wala usimsikilize,Chimbuvu alikua anaongoza maandamano ya kukupinga asijishaue kisa umerudi!wasiliana na swr wangu atakupa tarehe ya harusi!
 
Last edited by a moderator:
Tena unataka nitoe siri unayoificha? Unataka niseme hadharani kuwa ulishawahi kutoa mimba yangu niseme? Usione nimekaa kimya ntakulipua Baba V hoja binafsi zinaruhusiwa humu CC ama ?

hahahaaaaaa!Rutta wangu hamynd maneno ya watu,hata kama kutoa c kipindi nikiwa form 4 ndio useme leo? ili niachwe au?BABA V mkanye chimbuvu mi staki ugomvi na mtu!alinibebesha akakimbilia daslam sasa ningefanyaje!
 
Wewe ndio mwenye mamlaka ya kufungisha ndoa humu si mwingine! Labda achaguliwe kaimu wako kwa wakti ambao hutakuwepo!

Nimekusoma bwana loya, nakamilisha mchakato wa uteuzi wa kikosi kazi nitakachokipatia mpangomkakati wa kurasmisha ndoa hapa chit chat. Tuendelee na mipangilio mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom