Hey chit-chat, I'm back again!!

Kijana unatakiwa kubadilika kulingana na tekinolojia aisee mambo ni ki dot.com cielo and b52 are deep in love!
Ha haaaaa, ingawa mchumba wangu mtarajiwa TANMO kaingia mitini kabla ya kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari, sijutii kukupiga chini. Kila siku una-fall in love na mwingine? Kuwa nawe mtu anahitaji kuwa na moyo wa chuma, lol BAK tafadhali naomba utuwekee wimbo wa banana zolo na yule mdada gani sijui unaitwa pressure maalumu kwa Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Duh! Kweli kukaa nje ya jukwaa unakosa mengi!! Yaani hili jukwaa limejaa member wapya wengi hivi??
Wamelipia kiingilio kwanza?

Ngoja nikawaite wakongwe wenzangu tuliopotea tuje kuchukua chetu!
 
dada mkubwa kwanza shikamoo!
hapo kwenye bold unafikir masikhara kuoa binti wa kingoni!ahhahahhahhaha watu wanazipanga tu hapa fikwa hapa mahari hapa myakaya hapa jamanda!ahahahhahahha hata Erickb52 mwenyewe kakimbia hilo hilo na kwa mwendo ninauona humu na Kipipi nae kashaona hamwezi si kagundua ni mdogo wetu!ndo mana kahamisha majeshi kwa Ciello ambaye kafa kaoza kwa Mtambuzi kiasi analala nae kila siku,mi mara ya pili hii nawakuta wako wote usiku wa manane tena siku hizi wameanzisha kamchezo ka kupiga watu chabo
 
Mkuu Rejao pole na Chaguzi za UVCCM Maana nasikia ulikuwa kambi ya Makonda
 
Last edited by a moderator:
Duh! Kweli kukaa nje ya jukwaa unakosa mengi!! Yaani hili jukwaa limejaa member wapya wengi hivi??
Wamelipia kiingilio kwanza?

Ngoja nikawaite wakongwe wenzangu tuliopotea tuje kuchukua chetu!
kiingilio mtafute Kaizer ndo alisema yeye ndo mhasibu wa kijiwe hiki!kwa hiyo hebu do ze nidifull
 
Last edited by a moderator:
dada mkubwa kwanza shikamoo!
hapo kwenye bold unafikir masikhara kuoa binti wa kingoni!ahhahahhahhaha watu wanazipanga tu hapa fikwa hapa mahari hapa myakaya hapa jamanda!ahahahhahahha hata Erickb52 mwenyewe kakimbia hilo hilo na kwa mwendo ninauona humu na Kipipi nae kashaona hamwezi si kagundua ni mdogo wetu!ndo mana kahamisha majeshi kwa Ciello ambaye kafa kaoza kwa Mtambuzi kiasi analala nae kila siku,mi mara ya pili hii nawakuta wako wote usiku wa manane tena siku hizi wameanzisha kamchezo ka kupiga watu chabo

asee this is difameshen yan mie nalala na yule mzee....mnaniharibia bana kwa vijana lol
 
Last edited by a moderator:
Ha haaaaa, ingawa mchumba wangu mtarajiwa TANMO kaingia mitini kabla ya kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari, sijutii kukupiga chini. Kila siku una-fall in love na mwingine? Kuwa nawe mtu anahitaji kuwa na moyo wa chuma, lol BAK tafadhali naomba utuwekee wimbo wa banana zolo na yule mdada gani sijui unaitwa pressure maalumu kwa Erickb52

Hey @FP,do i know you!??? au na wewe ni miongoni mwa wale ambao sikuwaacha
 
Last edited by a moderator:
Duh! Kweli kukaa nje ya jukwaa unakosa mengi!! Yaani hili jukwaa limejaa member wapya wengi hivi??
Wamelipia kiingilio kwanza?

Ngoja nikawaite wakongwe wenzangu tuliopotea tuje kuchukua chetu!

Umeona mkuu Rejao, yaani kuna members wapya humu mpaka basi, kila mmoja ukimuuliza kiingilio anakwambia ameKAGULIWA na Asprin, huyu Asprin ndo wakumhoji kuhusu viingilio
 
Last edited by a moderator:
Ni aje wadau wa jamvi hili, ni kamuda kidogo nilipotea sio tu chit chat bali JF kwa ujumla, nipeni yaliyojiri katika miezi hii mitatu of my absence, lete habari@Kaizer Mr Rocky Erickb52, kaka mkubwa Baba V Arushaone, Mamndenyi, Mtambuzi, cacico, gfsonwin, Bishanga, ruttashoborwa, Judgement, C6, charminglady, sweetlady, Preta, zomba, Katavi, Arabela, Ruhazwe JR LUNDENGA, BadiliTabia, Amyner, The secretary, Boflo, nyumbakubwa, snowhite, Safari_ni_Safari, Mkirua, na wengineo, naona kuna sura ngeni kibaaao, kuna sura kama Ritz, PakaJimmy, Filipo zimekimbia nini kule jukwaa la siasa, !???? I like it here, happy to be back!! pamoja saaaaana my people!

Sasa ndo nini kutajanatajana majina? Upuuzi mtupu!
 
Last edited by a moderator:
Umeona mkuu Rejao, yaani kuna members wapya humu mpaka basi, kila mmoja ukimuuliza kiingilio anakwambia ameKAGULIWA na Asprin, huyu Asprin ndo wakumhoji kuhusu viingilio
Heee....huyu babu huwa anawafanyia tu ukaguzi mabinti!! wakifika tu hapa sharti la kwanza ni lazima waonane naye.
Tablet mwenzake klorokwini sijui kapotelea wapi naye!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom