Hey chit-chat, I'm back again!!

dada mkubwa kwanza shikamoo!
hapo kwenye bold unafikir masikhara kuoa binti wa kingoni!ahhahahhahhaha watu wanazipanga tu hapa fikwa hapa mahari hapa myakaya hapa jamanda!ahahahhahahha hata Erickb52 mwenyewe kakimbia hilo hilo na kwa mwendo ninauona humu na Kipipi nae kashaona hamwezi si kagundua ni mdogo wetu!ndo mana kahamisha majeshi kwa Ciello ambaye kafa kaoza kwa Mtambuzi kiasi analala nae kila siku,mi mara ya pili hii nawakuta wako wote usiku wa manane tena siku hizi wameanzisha kamchezo ka kupiga watu chabo
Heheheheeee snowhite mi nishajitua kwa cielo sina shida tena
Naona masharti ya kaka yenu moto2012 magumu sana lol
Hata Kipipi nahisi ntamtema soon
 
Last edited by a moderator:
inabidi niwasiliane naye niangalie mfuko una kiasi gani, otherwise inabidi tumnyang'anye kibarua..lol!!

atakuwa tu amelipia ada darasani kwangu!huwa anapenda kutoa ada in advance sasa nina mashaka kama amebaki nazo
eti Kaizer kweli kwa jinsi juzi kati nilivofundusha kwa mbinu shirikishi namna ile tena kwa kutumia michoro na vitu halisi kama mbuzi na mchungaji wake kweli kuna hela ya mfuko wa chit chatua uliyobaki nayo kweli!sijui labda ka sio mimi nilikuwa mwalimu wa zamu!
 
Last edited by a moderator:
no usikate tamaa kijana mie bado nalifikiria ombi lako soon nitakujibu ,ukiwasikiliza wapambe kina snowhite et al hatutafika!

mi nakucheki tu unavotaka kuingia chaka mtafute mtu anaitwa Remmy ndo utajua huyu Erickb52 ni nani,au kwa maelezo mafupi muulize kwani kule mwanza likumbwa na zahma gani ukitaka story kamili mtafute dada mmoja hivi anaitwa Elizabeth Dominick ye kwa kuwa ni verified user wala hatakudannganya
 
nayafaham yote usemayo mamito ila kila enzi ina vitabu vyake vya historia!
 
Last edited by a moderator:
mi nakucheki tu unavotaka kuingia chaka mtafute mtu anaitwa Remmy ndo utajua huyu Erickb52 ni nani,au kwa maelezo mafupi muulize kwani kule mwanza likumbwa na zahma gani ukitaka story kamili mtafute dada mmoja hivi anaitwa Elizabeth Dominick ye kwa kuwa ni verified user wala hatakudannganya[/QUOTE]
Unanitia majaribuni we mdada kwanini asimtafute charminglady
 
Last edited by a moderator:
Pombekali habari mpya Erickb52 anavizia wake za watu kama kuku.mi nilishampa makavu laivu kwamba simtaki na Bishanga nimemweka kwenye chupa
 
no usikate tamaa kijana mie bado nalifikiria ombi lako soon nitakujibu ,ukiwasikiliza wapambe kina snowhite et al hatutafika!

Tafadhali umwache, nipo mwenyewe niliyekuw nae kww shida na raha, hata wakati yupo na Amyner mie nilikuwepo, leo Amyner katoswa unataka kuchukua nafasi....ohoooo nitakwendea sumbawanga, muulize Amyner nini kimempata.
 
Last edited by a moderator:
mi nakucheki tu unavotaka kuingia chaka mtafute mtu anaitwa Remmy ndo utajua huyu Erickb52 ni nani,au kwa maelezo mafupi muulize kwani kule mwanza likumbwa na zahma gani ukitaka story kamili mtafute dada mmoja hivi anaitwa Elizabeth Dominick ye kwa kuwa ni verified user wala hatakudannganya

Tumwache naye aingie kichwakichwa ayaone. Si anajiona yeye mrembo sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom