Aisee hiyo niliiskia kama nyepesi nyepesi,afu nayeye hajakanusha hapa,kaaazi kwelikweli!
There are currently 10 users browsing this thread. (8 members and 2 guests)
We mtambuzi mbona unachungulia sana?
Halaaaaa me nipo njian najitoa out kipip my dearest
Mume kasema leo hajisikiii bana nipo na my friends wengne haps ila tunafanya country driving kidogo then mjinndo nini hunambii kama waja town? vp mmeo kasomeka?
Dah lazma nikuote Kipipi wala usijali love!
Mwambie snowhite na Blaki Womani nawatakia Eid Njema!
Mwaaaaaah