amani iwe nanyi wana chit-chat

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Wasalaam wana chit-chat natumai mu wazima wenye siha njema.

Majukumu yamenifanya niwatenge kwa muda kwakuwa nimekuwa naingia kwa beep,
Lakini muda si mrefu kuanzia tarehe 20-03 tutakuwa wote.


Najua mshenga wangu watu8 utakuwa unajiuliza nipo wapi siku zote hizo,ukweli ni kwamba nisipo kaza buti mke wangu Evelyn Salt atanikimbia maana anapenda vitu vya bei juu na nikiwa sina yeye hanitaki,hivyo nipo huku kwa Rich women napiga day worker ili nitunishe mfuko kidogo na baadae mambo yaende.

Pia napenda kutoa pole kwa familia yahttps://www.jamiiforums.com/member.php?u=75985 Baba V nawengine wote walokuwa chini ya ulinzi halali wa moderator .

Ok… sasa niwatakie peace and love Erickb52, mkaguzi Asprin, shemeji zangu wa ukwenhe Madame B C6 ,
Ndugu na jamaa zangu
Filipo, marejesho, Bishanga, KakaKiiza, Nivea, Chimbuvu, ThinkPad, Yegomasika, Lucas, gfsonwin

measkron, sweetlady WiseLady, ladyfurahia, FirstLady, Davie S.M, Elizabeth Dominic, Mtambuzi, Arushaone, Jiwe Linaloishi, Paloma, amu, Mr Rocky, Asnam, Zion Daughter, , cacico, snowhite
mwisho dada zangu King'asti, Arabela, nawapenda sana:A S-heart-2: amani sana:bange::bange:



Arushaone nisam`ehe nita kuwa nimekukwaza
 
Last edited by a moderator:
Ahsante honey na kwako pia.....
nipo bored naomba basi ukope hela twende hata beach mpenzi :A S-heart-2:
 
Amani iwe pia nawe! Karibu tena! Siku nyingine ukiwa na shida ya working capital mtafute Bishanga na matajiri wenzake!
 
Last edited by a moderator:
Kwanza naomba ujue kuwa sijawahi kupigwa BAN kabisa!! Slave naomba sana edit pale ulipoandika kuwa nimepigwa ban. Kama kuna member kaniandika hivyo alikuwa amemaanisha kuwa ingekuwa vipi kama ningepigwa ban?

Rudia kusoma ile thread tena!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom