CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
hakuna mambo ya GPAhiyo guideline mbona haijaonyesha kwa indirect ni kuanzia gpa ngapi?
hakuna mambo ya GPAhiyo guideline mbona haijaonyesha kwa indirect ni kuanzia gpa ngapi?
Yeah nitaomba private institutionsKwa vyuo kama MUHAS, KCMC, CUHAS, UDOM,sahau afya labda jaribu AJUCO, KIU and the likes
Nilimaliza 2015 mkuuAfya zote kwa vipi? Form six mwaka jana yameshatoka?
Ok then wewe huna shida, 2014 and below excludedNilimaliza 2015 mkuu
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hapa naona kama wale waliokuwa wanasoma science mpaka sura zikawakomaa watoto wa watu wanaanza kula matunda na wale wenzangu na mie wa msuli kitanda inabidi waamke sasa ili watafute hela ya kusomea mh , kweli hapa kazi tu loh
Mwaka Jana ulipata two ya wap ww wakat ukikuwa n mfumo wa GPA?Namshukuru mungu nilipata division two mwaka jana ya CBG, So nitaomba afya zote
hakuna mambo ya GPA
Walio post pone imekuaje mkuuKwa wale ambao mli post pone mwaka Jana....poleni na Mwenyez Mungu awatie nguvu katika kipindi hki kigum
Haya hao n wa art je waliosoma ECA c wanahesabika mkuutatizo watu wa art mpo wengi kwahyo ukichukua jumla ya pesa mnazotumia ni nyingi kuliko wa science
Mmnh mkuu yani kama wametiwa kundi moja mana zile faculty priority mmnhHaya hao n wa art je waliosoma ECA c wanahesabika mkuu
Kuna Kale Kajamaa Aliyemsifu Ndalichako Baada Ya Kuteuliwa Waziri Kuwa ni Mchapa Kazi Sijui atatuletea mrejesho????Mmnh mkuu yani kama wametiwa kundi moja mana zile faculty priority mmnh![]()
![]()
Asante mkuu..wakinipa ht boom tu ntaridhika..eeh Mungu nisaidieBoom unapata ila Ada hapo ndo haijulikani
Umesahau hizi ni zama zingine endelea kuishi kwa kukaliliMimi nmesoma arts tena hkl na ntaomba mkopo kwa sababu huwezi jua unaweza useme usiombe kumbe ungeomba ungepata so acha nipoteze tuu hela mbona mwaka jana waliandika hivyohivyo na watu wakapata wa arts kama kawaida
Hahaha sidhani nadhani atakuwa anahesabu namba huko alikoKuna Kale Kajamaa Aliyemsifu Ndalichako Baada Ya Kuteuliwa Waziri Kuwa ni Mchapa Kazi Sijui atatuletea mrejesho????
Mana Kwa HKL yake Nahisi itakuwa Nayeye atachapwa Hapa Kwenye Loan.!!
Hahaha mdau bora usome mwenyew usije kulilia watu jukwaaniAsante mkuu..wakinipa ht boom tu ntaridhika..eeh Mungu nisaidie