kwa zaman walikuwa wanapata coz mi huku wapo nnasoma nao walioptia dip lakn huwa tunapata nao mkopo sa cjui kwa nyie wautawala mpya na system zmebadilika cjui itakuajeNapenda kuuliza ..kwa ngazi ya diplma naweza pata mjopo heslb nikipata nafasi ya chuo kikuu
Mkuu Muda unatosha tuu, bora kuomba loan ingekuwa bureSasa wizi hupi matokeo yakishatoka huo muda wakuomba loan upo wakati hapo inapaswa uombe na TCU ili wakupangie unakopaswa kusoma
kwa sasa hupat atakuweka ndani mh.pombe
Kidogo tufananishe majina yetuHao wa Jkt watapewa ruhsa km wiki 2 kuomba maana hata mwaka jana walifanyiwa hvo
Vp hata ualimu wa masomo ya art nayo hakuna mkopo watu tukakimbilia hukonaomba wale ndungu zangu walio soma Arts msijisumbue kabisa wala kupoteza mda hata hela zenu maana hiyo imeishakuwa non-priority fanya utaratibu mwingine wa kusoma kinyume na hapo utajisumbua bulee
Kumbuka hii serikali imejitahidi kuweka watu makini sio kama mlivyozoeaMimi nmesoma arts tena hkl na ntaomba mkopo kwa sababu huwezi jua unaweza useme usiombe kumbe ungeomba ungepata so acha nipoteze tuu hela mbona mwaka jana waliandika hivyohivyo na watu wakapata wa arts kama kawaida
Mkopo hauangalii GPA nzuri wala mbaya..bodi ya mikopo wanaangalia kam una vigezo vinavyokizi ww kupatiwa mkopo ili mradi uwe umepitishwa na bodi ya tcu kujiunga na chuo...GPA nzuri itakusaidia kupata chuo na course nzuri,hiki kigezo ni cha tcu sio bodi ya mikopo..Unapata lakini na uwe GPA mzuri.
mkuuu umeeleza vzuriiiMkopo hauangalii GPA nzuri wala mbaya..bodi ya mikopo wanaangalia kam una vigezo vinavyokizi ww kupatiwa mkopo ili mradi uwe umepitishwa na bodi ya tcu kujiunga na chuo...GPA nzuri itakusaidia kupata chuo na course nzuri,hiki kigezo ni cha tcu sio bodi ya mikopo..
Kwa sisi tuliosoma kozi za elimu( education) umuhimu wa elimu unategemea sana hitaji la jamii( social need) kwa muda huo. Kwahyo sasa hivi hitaji la jamii ni wataalamu wa nyanja za sayansi. Kuliko kusomesha watu ambao hauna mahitaji nao na hata wao wenyewe hizo kozi sio rahisi kuwasaidia maana watamaliza chuo na kuanza kutafuta ajira ambazo ni adimu sana, ni bora hizo fedha zipelekwe kwenye mambo ya msingi zaidi kwenye jamii kama kutengeneza barabara na kuboresha huduma za afya na elimu msingi.Ila huu ubaguz unaofanywa na serkal sio mzuri
Kwa hiyo waliosoma masomo ya sayansi ya jamii hawana umuhimu?
Kwanin mkopo wapewe wa fani nyingine tu