Wamejihusisha na kozi ambazo hazina kipaumbele kwa taifa lako siyo mimi ila Bodi ndo inasema hivyoSio kukurupuka kuomba hayo ni mapungufu ya muongozo wao kwani hata waliodahiliwa mwaka jana iliwapa usumbufu hivyohivyo na sio huwasemee eti wataalamu wanatosha kwani wewr ndio unamamlaka ya kutoa ajira au unafikiri kila anayesoma tanzania atafanya kazi tanzania suala hapa ni kujadili wanafunzi hawa wa kozi hii mpya kwa upande wa bachelor nchini kwetu watapewa mkopo ktka category ipi sio unaanza kwa kubeza eti watu wengine. Wamefanyaje hao watu wengine
Sasa hizo institutions masharti yatakua magumu na riba kubwamkopo too much complications,
Nafikiri serikali isihodhi all powers za mikopo, badala yake waalike na aother institutions kuanza kutoa mikopo. ili yule anayetaka kukopa anakopa, maana atalipa mwenyewe. sasa hii masharti kibao!!
Hebu Soma Guide book yao Acha UvivuNapenda kuuliza ..kwa ngazi ya diplma naweza pata mjopo heslb nikipata nafasi ya chuo kikuu
Mambo ya division three na vigezo yatakuja kusemwa na TCU na si bodi ya mikopo tusichanganye haya mambo wenye mamlaka ya kusema vigezo hivi vya program husika ni TCU pekeyake na sivinginevyo!Kwaiyo watakaopata division three hawatapata mkopo?
Umesoma Guidlines yao Ukalikuta hilo? Na Kama Hujasoma basi Kwanini usisome?Kwaiyo watakaopata division three hawatapata mkopo?
Vipi kuhusu huo umri wa muombaji (30 yrs)Kwa Wale Watakao omba "Priority Courses Clustee I" hawa Watapata Mkopo bila Ya Kujali Mwaka Waliomaliza Masomo Kama ni below 2014.

Priority courses cluster I include: -
i) Education (Science) and Education (Mathematics);
ii) Health Sciences (Doctor of Medicine, Dental Surgery, Veterinary Medicine, Pharmacy, Nursing, Midwifery, BSc in Prosthetics and Orthotics, BSc in Physiotherapy, BSc in Health Laboratory Sciences, BSc in Medical Laborator Sciences and BSc in Radiotherapy Technology) and other Health Sciences;
iii) Civil and IrrigationEngineering;
iv) Petroleum and Gas Engineering;

All Direct and Indirect applicants admitted to pursue priority Courses Cluster I will be eligible for loans without considering graduation period (Form Six or other Equivalent Qualifications).
Kuna wapotoshaji wengi...asante mkuu kwa kuliweka sawa..Mkopo hauangalii GPA nzuri wala mbaya..bodi ya mikopo wanaangalia kam una vigezo vinavyokizi ww kupatiwa mkopo ili mradi uwe umepitishwa na bodi ya tcu kujiunga na chuo...GPA nzuri itakusaidia kupata chuo na course nzuri,hiki kigezo ni cha tcu sio bodi ya mikopo..
Sure nadhan awaulize wa last year cbg afya waliisoma namba na walikiwaga na distinctionKwa vyuo kama MUHAS, KCMC, CUHAS, UDOM,sahau afya labda jaribu AJUCO, KIU and the likes
Yap hapa kazi tu! Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yakeHapa naona kama wale waliokuwa wanasoma science mpaka sura zikawakomaa watoto wa watu wanaanza kula matunda na wale wenzangu na mie wa msuli kitanda inabidi waamke sasa ili watafute hela ya kusomea mh , kweli hapa kazi tu loh
Sidhan make kuna watu mwaka Jana wamesoma private o&a level lkn mkopo walipata 100 ila mmoja anasoma science with education mwngn mdAsante nimesoma wanaelezea na kama ulisoma O & A level shule gani /private or public and all sorts of things. Thank you.
hapana , zinakuwa controlled zinaundiwa government agency yao na actually Loan board ndiyo kazi yao. Kuregulate. ili hayo majamaa wheather are banks wasitoze riba kubwa.Sasa hizo institutions masharti yatakua magumu na riba kubwa