HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

acha kumpotosha dogo, peni yoyote unaruhusiwa lakin isiyo nyekundu au kijani tu wala pendeli. so use black /blue
Haya asante kwa marekebisho lkn kumbukumbu zangu zinanikumbusha kama ilikuwa kutumia black pen.Kama sasa hivi kuna marekebisho hayo haina shida.
 
IWAPO MWANAFUNZI ANAYETARAJI KUINGIA MWAKA WA PILI WA MASOMO YA SHAHADA 2016/17 ALIDAHILIWA KWA KIGEZO CHA DIRECT ENTRY, LAKINI AMEOMBA MKOPO HESLB MWAKA HUU KWA KUONGEZA CHETI CHA STASHAHADA (AMBACHO AWALI HAKUAMBATANISHA KWA SABABU KILICHELEWA). JE, TOFAUTI YA KUMBUKUMBU ZA CHUO NA TCU (KUDAHILIWA KAMA DIRECT ENTRY) NA MAOMBI MAPYA YA MKOPO (KUAMBATANISHWA SIFA YA ZIADA YA CHETI CHA STASHAHADA) YANAWEZA KUSABABISHA ASIPATE MKOPO?

KAMA HILO NI TATIZO AFANYE NINI NA WAPI ILI KUEPUSHA TATIZO?
 
Sasa mkuu umeilipa au umekosea kuilipa umelipia taasisi nyingine,mfano badala ya kulipia Heslb ukalipia TCU?au inakuwaje?.

hamna mkuu .. nilifanya makosa kwenye kuandika kumbukumbu namba badala ya form 4 nimeandika ya form 6
 
hamna mkuu .. nilifanya makosa kwenye kuandika kumbukumbu namba badala ya form 4 nimeandika ya form 6

na pia mwengine alikosea kwenye usajili ya shule . mfano badala S1111 ameandika R1111 na huwa kuna S na P .. hahaaa
 
Mkuu hapo wameandika wanaopaswa kupewa mkopo ni between 2014_2016 .Je vipi kwa waliomaliza 2014 maana kwa neno between naona kama vile 2014 wanakua excluded.Naomba ufafanuzi hapo tafadhali.

Mkuu Hepo Soma Kwa Makini Maneno haya: "Direct and Indirect applicants admitted to pursue Priority Courses Cluster II will be eligible for loans if applicants graduated Form Six or other Equivalent Qualifications within the last three years".

Sasa Mkuu Hapo Kauli Sahihi sio Kuitafsiri "Between"! Bali Ni Kuitafsiri "Within the last three Years/Ndani Ya Miaka Mitatu iliyomalizika".

1) Mwaka wa Kwanza ni 2016
2) Mwaka wa Pili ni 2015
3) Mwaka wa Tatu ni 2014

Sasa hapo Hofu yako ni nini??
 
Me mwenyewe ilinichanganya kidogo hapo kwenye between halafu hapohapo last three yrs.Ahsante kwa ufafanuzi Mkuu
 
Kwa ambao wamemaliza form six mwaka huu, ambao matokeo yametoka last week, wafanyeje kuambatanisha matokeo?
 
Back
Top Bottom