HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
408
344
Bodi ya mikopo Tanzania (HESLB) imetangaza kuanza kupokea maombi rasmi ya mikopo kwa kutoa Guidelines kwa mwaka 2016/2017 hivyo wananchi wote mnaombwa kusoma kwa makini masharti kabla ya kufanya application mwisho wa ku apply ni 31st July tembelea www.heslb.go.tz for more information
 

Attachments

  • PUBLISHED_GUIDELINES_2016_17.pdf
    454.8 KB · Views: 671
Hao wa Jkt watapewa ruhsa km wiki 2 kuomba maana hata mwaka jana walifanyiwa hvo
Mwaka jana ruksa iliyotolewa ni kuapply TCU usichanganye mafail mwaka jana watu walisepa JKT wameshamaliza issue za mikopo kwa mwaka huu watu lazima warudi kule wanakoishi ili wakajaze fomu na kutafuta vyeti vyao vya kuzaliwa and other supporting documents
 
Daaaah mbona shida sasa ndo kusema arts hawaitak au? Kwan hzo hela wanatugawia au tunazirudsha baada ya kusoma!
 
naomba wale ndungu zangu walio soma Arts msijisumbue kabisa wala kupoteza mda hata hela zenu maana hiyo imeishakuwa non-priority fanya utaratibu mwingine wa kusoma kinyume na hapo utajisumbua bulee
 
naomba wale ndungu zangu walio soma Arts msijisumbue kabisa wala kupoteza mda hata hela zenu maana hiyo imeishakuwa non-priority fanya utaratibu mwingine wa kusoma kinyume na hapo utajisumbua bulee
Kuna ukweli hapa!
 
Back
Top Bottom