HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

Namshukuru mungu nilipata division two mwaka jana ya CBG, So nitaomba afya zote
unashida mkuu cbg ni shida sana hata labaratory hupat labda omba wengi wafeli mtihan ila ikija kama brn yetu mbona utasugua nadhan ndo maana hata hukwenda chuo!
 
hivi loan kukosa inajumuisha na accomodation na meals pia stationary?
 
Samahani naomba kuuliza, mwaka jana nilipost pone mwaka lakini mkopo nilipata, mwaka huu naweza kupata nikiomba tena
 
unashida mkuu cbg ni shida sana hata labaratory hupat labda omba wengi wafeli mtihan ila ikija kama brn yetu mbona utasugua nadhan ndo maana hata hukwenda chuo!
teh teh teh teh teh teh! Mbavu sina.
 
Kwa wale wa arts kama una vigezo vinginevyo usisite kuomba(kwa mfano yatima usiejiweza na una uthibitisho n.k) kwani course nyingi za arts si mwaka huu tu ndio zimekua non priority ila baadhi ya watu wamekua wakiomba na kupata mkopo hata bila kutumia njia zisizo halali hivyo inategemea,hivyo msikate tamaa ila jaribu bahati yako asikukatishe tamaa mtu.
 
achs uongo mwaka jana hawakuandika hiv mkuu kasome upya guidelines upya ya mwaka jana utaona
Ila mkuu course nyingi za arts hua ni non priority course eg LAW ila baadhi ya watu wamekua wakiomba na kupata tena kuna ambao wanalipiwa hadi asilimia 100 kutegemea na vigezo alivonavyo.
 
achs uongo mwaka jana hawakuandika hiv mkuu kasome upya guidelines upya ya mwaka jana utaona
Watu wanapotosha wenzao asome guidelines za mwaka jana na mwaka huu kuna tofauti kubwa tu nashangaa watu hawa notice hicho[emoji22]
 
Ila mkuu course nyingi za arts hua ni non priority course eg LAW ila baadhi ya watu wamekua wakiomba na kupata tena kuna ambao wanalipiwa hadi asilimia 100 kutegemea na vigezo alivonavyo.
Ndio ila anachosema mkuu ni mwaka huu waestate kua mpaka science WOTE waishe ndo arts na business wataanza kufikiriwa kwa kuzingatia means of test kulingana na budget kama itatosha sasa jiulize budget ya Tanzania ilishawahi kutosha
 
Hizo guidelines za non priority na means testing hazijaanza mwaka huu. Toka miaka ya nyuma.
Msiwatishe watu tena kwa Mh. MAGUFULI mikopo watapata wakikosa asilimia Meals and Accomodation watapata.
Walioko mwaka wa kwanza 90% wana mkopo.
 
Back
Top Bottom