HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

serikali kazi yao ni kutoa schlarships ama grants . ila mikopo wawaachie wengine wao waregulate tu
 
hapana , zinakuwa controlled zinaundiwa government agency yao na actually Loan board ndiyo kazi yao. Kuregulate. ili hayo majamaa wheather are banks wasitoze riba kubwa.
Na some times wanasaidia kutafuta hata kazi kwa wahitimu wao ili wapate kazi na wanze kulipa mikopo.
Labda kwanza ziundwe sheria maalum za kuongoza mchakato huu maake hizo ni pesa nyingi mkuu
 
Umri wanauzingatia sana kwamba mwombaji yeyote yule asizidi miaka 30 hapa wanataka kua wanaye mkopesha awe na uwezo akimaliza mdogo wa kuketa tija kwa taifa na kwa mda mrefu
Sawa mkuu, Hiv hili ni shart jipya au lilikuwepo kabla ..!!
 
Sidhan make kuna watu mwaka Jana wamesoma private o&a level lkn mkopo walipata 100 ila mmoja anasoma science with education mwngn md
MD unapata wote (within the limits of HESLB) , nina kijana wangu yupo MD na alisoma marian form 1-6. sina uhakika na education.
 
MD unapata wote (within the limits of HESLB) , nina kijana wangu yupo MD na alisoma marian form 1-6. sina uhakika na education.
Uko sahihi forget about MD kozi zote za afya unapata mkopo wote
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbn kuna mababu wanasoma degree na wana mkopo
Yeah ndo mana nimeuliza, maana kuna watu nawafahamu wako mkopo..!!

Labda kama ni utaratibu mpya wa mwaka huu ..?!
 
wanaangalia ada uliyokua unalipa secondary, ili kujua unauwezo wa kujilipia kwa kiasi gani, baada ya hapo wanachukua ada ya chuo ulichopangiwa wanatoa na kiasi ulichokua unalipia secondary
Hatari basi, sekondary ada ni mpaka mil 2-4 wakati univ. ukiondoa medicine (na engineering???) haizidi 2, basi wa private hakuna mkopo!
 
Bodi ya mikopo Tanzania (HESLB) imetangaza kuanza kupokea maombi rasmi ya mikopo kwa kutoa Guidelines kwa mwaka 2016/2017 hivyo wananchi wote mnaombwa kusoma kwa makini masharti kabla ya kufanya application mwisho wa ku apply ni 31st July tembelea www.heslb.go.tz for more information
 
div 1 na 2 ni sifa za kuomba grants, kwahyo kama umechaguliwa MD na una div 3 utapewa mkopo na sio grants
Yea mkopo unapewa ila sio grants hapo nilienda mrama kidogo doctor ambapo ukimaliza you'll have to work nchini kwa miaka mitatu ndo usepe mwanzoni nilijua mkopo mama ingekuwa ivo hall ingekuwa mbaya
 
Jaman had nashindwa kuelewa.....kuna tetec et kua kama ukitoka dip ili kupata mkopo n lazima ukae kuanzia mwaka mmoja hom bila kujiunga na chuo chochote....kwa hyo et ukiunganisha mkopo hupat.....wengne wanasema et mkopo unatolewa kwa form 6 wenye 1&2...wenye 3 special dip...halaf nyie wengne endeleen kuomba wazaz wenu.......peoples sina hakika na hli....ila natka kuuliza linaukwel wwte??
Not true
 
Naomba kuwauliza m wana JF mm ni form six leaver ina maana wanavyosema hatutapewa mkopo wana arts ni ada tu au tunanyimwa vyote yaan ada na boom..naomba mnisaidie kwa hilo maana am shaking
 
Back
Top Bottom