HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

Naomba kuuliza mfano form six nimemaliza 2009 so wanaeweza kunipa mkopo
 
Vigezo vya kuomba mkopo kwa wanafunzi wa Law School of Tanzania ni shida asee, pia HESLB wameondoa meals and accommodation allowance,pia field practical allowance kwa wanufaika wa mkopo Law School wakati mwaka jana walikua wakitoa mkopo katika hayo masuala hivyo yabidi hilo suala liangaliwe upya.
 
Yap ila wanaendana na hali halisi ya sasa kujenga Tanzania ya viwanda na viwanda vinahitaji wanascience no wonder wanawapa kipaumbele kwanza.
 
mim nakushaur uombe ila utakuwa unabahatisha kwan wamesema kabisa is non priority so nawakisema non priority it means usiwalaumu wasipokupa mkopo kwan hawatoconsider your application until those priorities haves
Art haikuwai kuwa priority zaidi ya ualimu na science hivyo msiogope vijana we fanya application.
 
Mimi nmesoma arts tena hkl na ntaomba mkopo kwa sababu huwezi jua unaweza useme usiombe kumbe ungeomba ungepata so acha nipoteze tuu hela mbona mwaka jana waliandika hivyohivyo na watu wakapata wa arts kama kawaida
Usidanganywe kijana course za art zote huwa ni non priority ukiondoa ualimu lakini huwa wanawapa lakini uwe na one au two!

Au maana ya neno priority linawasumbua?
 
Ila huu ubaguz unaofanywa na serkal sio mzuri
Kwa hiyo waliosoma masomo ya sayansi ya jamii hawana umuhimu?
Kwanin mkopo wapewe wa fani nyingine tu
Wewe kijana mbona una kichwa kigumu ni lini course za art ukitoa za ualimu ziliwai kuandikwa ni priority course na mnapewa mikopo ili mradi mmefaulu vizuri?

Mnashindwa kuelewa nini?
 
Yaan magufuli analoamua ndio Hilo Hilo... Hakuna sheria wala kanuni
Yani nimepitia huu uzi naona unalalamika tuu kama mtu aliye changanyikiwa! Ni sheria gani haifwati? Kumbe umemaliza form six mwaka jana! Hebu tulia usome attachment kwa makini kama kuna swali uliza watu wakusaidie acha kulalamika!

Art haikuwai kuwa ya kipaumbele ukiondoa ualimu na hakuna kilicho badilika...course yako kutokuwa ya kipaumbele haimaanishi ndio utakosa mkopo! Maana yake wewe utafikiriwa baada ya priority course kupewa!
 
Mkuu mimi sjamaliza mwaka jana, usiishi kwa hisia

Nimesoma attachment vizur, na nimetoa maoni yangu

Usipende kuhukumu mkuu,
 
Naomba kuulza nmeona katk zle za priority kuna Agricultural economics and agribussiness.. Hv hii mtu wa ECA anaweza soma na ipoojee wakuu!!
 
Ndio ila anachosema mkuu ni mwaka huu waestate kua mpaka science WOTE waishe ndo arts na business wataanza kufikiriwa kwa kuzingatia means of test kulingana na budget kama itatosha sasa jiulize budget ya Tanzania ilishawahi kutosha
Kwa taarifa tuu kama wewe ni mfatiliaji wa budget bungeni utakubaliana nami kuwa budget kwenye loan board imewekwa kubwa kuliko miaka yote. ! Nadhani kinacho kusumbua ni hiyo priority course. ! Kwa taarifa tuu watu wanaosoma masomo ya sayansi hawakuwai kuwa wengi ndio maana wana encourage kwa kuwapa kipaumbele lakini hela iliyopo hawawezi kuimaliza hivyo kama kweli umepata one au two kijana usiwe na wasi mkopo utapata!
 
Je three mkuu huwez kupata mkopo?
 
Back
Top Bottom