HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

Means of test scores maana yake ni percentage utakayopewa mkopo kutokana na hali yako halisi kama ni orphan, disabled, au wazazi wana ulemavu
Asante nimesoma wanaelezea na kama ulisoma O & A level shule gani /private or public and all sorts of things. Thank you.
 
Bodi ya mikopo wametaja engineering programs zoooote lkn wameshindwa kuweka aircraft maintenance engineering inayotolewa pale NIT mwenye uelewa na hili anisaidie je mtu atakayekuja kuomba hii course watamuweka ktk category ipi?
Watu wengine ukiona haijatajwa sasa we unakurupuka kuiomba ili iweje, haijatajwa so tulia Mkuu angalia yenye kipaumbele kama ilivyo ainishwa na hawajaitaja maake NDEGE ziko ngapi Tanzania kwahiyo watu wachache wanatosha
 
Sirikali inawaengua watu wa arts kimtindo.
Sasa hawa vijana naona diploma na higher diploma za ualimu zinawahusu.
Daah arts sasa inaanza kuwa si mpango tena
Inaanza kua si mpango au tangu zamani tu arts si mpango!
 
Kuna watoto wengine wa kimaskini waliahirisha miaka kwa sababu ya kukosa mkopo huku wakitegemea kwamba Mwaka huu WA HAPA KAZI TU watapewa. Badala yake wamechinjiwa baharini.

Hii ndo Tanzania.
 
Asante nimesoma wanaelezea na kama ulisoma O & A level shule gani /private or public and all sorts of things. Thank you.
Ada ya shule uliyosoma kama ni private au government ita determine kiwango chako kuweza kuchangia masomo ya elimu ya juu hivyo kuiwezesha bodi kufahamu inahitaji kukupa kiasi gani
 
Mimi nmesoma arts tena hkl na ntaomba mkopo kwa sababu huwezi jua unaweza useme usiombe kumbe ungeomba ungepata so acha nipoteze tuu hela mbona mwaka jana waliandika hivyohivyo na watu wakapata wa arts kama kawaida
Hawajasema hupati imeandikwa kwasababu sio priority watasubiri mpaka priority wote waishe then kutokana na budget na wengine mtaangaliwa.
Maswali rahisi budget tangu lini ikatosha?
Kama kupandishwa vyeo mdaraja na uajiri wa watumishi serikalini umesitishwa je iyo budget ya kumsomesha mtu ambae tayar wanae na kuzidi inatoka wapi?
 
Ada ya shule uliyosoma kama ni private au government ita determine kiwango chako kuweza kuchangia masomo ya elimu ya juu hivyo kuiwezesha bodi kufahamu inahitaji kukupa kiasi gani
Anyway for a matter of discussion, kigezo hicho siyo realistic! mtu kusoma private inaweza kuwa wazazi walikuwa bado employed, kusaidiwa na wasamalia wema, kwa kuuza mali ulizo nazo na mazingira kama hayo.
 
Hawajasema hupati imeandikwa kwasababu sio priority watasubiri mpaka priority wote waishe then kutokana na budget na wengine mtaangaliwa.
Maswali rahisi budget tangu lini ikatosha?
Kama kupandishwa vyeo mdaraja na uajiri wa watumishi serikalini umesitishwa je iyo budget ya kumsomesha mtu ambae tayar wanae na kuzidi inatoka wapi?
Uko sahihi budget hua sikuzote haitoshi sasa wanaposema after all priority programs have been exhausted maana yake budget haitoshi na arts na business watafute mahali pakujishikiza
 
mbona sijaona walipo andika 1&2 kw sayans ndo watapewa mkopo..au ndo kupanikishana rabda aliye ona anitajie kipengele....
 
mbona sijaona walipo andika 1&2 kw sayans ndo watapewa mkopo..au ndo kupanikishana rabda aliye ona anitajie kipengele....
Hawajataja na actually wenye mamlaka ya kudahili vyuo vikuu si bodi ya mikopo bali ni TCU vilevile TCU ikisha comfirm umekua admitted kama una vigezo bodi inakupa pesa tu
 
Hizi taasisi 2 lazima ziweke mambo sawa,
Kwanza TCU then loan Board. sasa july 31 TCU WATAKUWA WAMEMALIZA?
 
Kwa Wale Watakao omba "Priority Courses Clustee I" hawa Watapata Mkopo bila Ya Kujali Mwaka Waliomaliza Masomo Kama ni below 2014.

Priority courses cluster I include: -
i) Education (Science) and Education (Mathematics);
ii) Health Sciences (Doctor of Medicine, Dental Surgery, Veterinary Medicine, Pharmacy, Nursing, Midwifery, BSc in Prosthetics and Orthotics, BSc in Physiotherapy, BSc in Health Laboratory Sciences, BSc in Medical Laborator Sciences and BSc in Radiotherapy Technology) and other Health Sciences;
iii) Civil and IrrigationEngineering;
iv) Petroleum and Gas Engineering;

All Direct and Indirect applicants admitted to pursue priority Courses Cluster I will be eligible for loans without considering graduation period (Form Six or other Equivalent Qualifications).
 
Watu wengine ukiona haijatajwa sasa we unakurupuka kuiomba ili iweje, haijatajwa so tulia Mkuu angalia yenye kipaumbele kama ilivyo ainishwa na hawajaitaja maake NDEGE ziko ngapi Tanzania kwahiyo watu wachache wanatosha
Sio kukurupuka kuomba hayo ni mapungufu ya muongozo wao kwani hata waliodahiliwa mwaka jana iliwapa usumbufu hivyohivyo na sio huwasemee eti wataalamu wanatosha kwani wewr ndio unamamlaka ya kutoa ajira au unafikiri kila anayesoma tanzania atafanya kazi tanzania suala hapa ni kujadili wanafunzi hawa wa kozi hii mpya kwa upande wa bachelor nchini kwetu watapewa mkopo ktka category ipi sio unaanza kwa kubeza eti watu wengine. Wamefanyaje hao watu wengine
 
Back
Top Bottom