HESLB: Batch One Out Now

HESLB: Batch One Out Now

Inasikitisha mno mkuu japo hujasema walikujibu nini ili tupate cha kukushauri.

Pia kama hutafanikiwa kwenye batch hii basi usikate tamaa kata rufaa maana wapo ambao hawakupata kabisa lakini walichomoka kwenye rufaa na kupata 100% mkopo.
Nachomuomba Mungu aniwezeshe ili watoto Mungu atakaonipa wasije wakapitia taabu hizi maana inasikitisha
 
Vuta subira mkuu naamini utapata si umeona mdau hapo juu amepata muda mfupi uliopita.

Ni suala la muda tu kila mmoja wetu atapata na allocations zitaendelea hadi kesho.
 
Kwangu inaonyesha hivi wakuu nini shida kwa anayefahamu tafadhali
 
Attachments

  • IMG_5371.png
    IMG_5371.png
    32.4 KB · Views: 38
dogo account yake imechange into SIPA siku ya nne sasa ila hakuna allocation , ukisikia kuchangia kwenda masomoni ndio huku
 
Attachments

  • Screenshot_20231103-213851.png
    Screenshot_20231103-213851.png
    34.1 KB · Views: 30
Kwenye ku-appeal ni vitu gani watataka uambatanishe? Na kama akaunti bado inasoma .... wait for final results hadi siku ya kuanza ku-appeal unaweza ku-appeal au hadi upate notification tofauti na hiyo ya wait for final results?
 
Nawaza hivyo pia
 
Usisubiri notification nyingine wewe ikifika tarehe ya appeal kata rufaa.

Muongozo wa nyaraka za kuambatanisha watautoa kwenye official statement inayohusu rufaa kabla ya tarehe 8 Novemba.
 
Kwenye ku-appeal ni vitu gani watataka uambatanishe? Na kama akaunti bado inasoma .... wait for final results hadi siku ya kuanza ku-appeal unaweza ku-appeal au hadi upate notification tofauti na hiyo ya wait for final results?
Hujafanikiwa mkuu kupata mkopo?
 
Back
Top Bottom