Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 793
- 1,932
Nipo kwenye industry na hizi higher learning institutions kwa miaka zaidi ya 10 hao HESLB wenyewe nimefanya nao kazi, deadline za government institutions ni strictly huwezi ku bargain nazo maana inakuwa ni system ikifungwa imefungwa labda board ikae isogeze mbele kidogo kwa maslahi ya umma lakini si kwaajili ya watu wachache wanao buy time ili wapate mkopo.
Chuo gani icho kinafanya usajili wa mwanafunzi wa Degree January? wewe labda umesoma izo college za gorofa ya tano Posta. Acheni kudanganya umma apa.
Rai yangu watu watafute njia nyingine ya kwenda vyuoni deadline ya usajili ni week chache mbele msije mkapoteza nafasi mlizopata uko vyuoni, ukikosa mkopo kuna room ya kuappeal na ni vyema u appeal ukiwa chuoni umeshafanya usajili.