HESLB: Batch One Out Now

HESLB: Batch One Out Now

Wajuzi wanasema ni kila baada ya siku 60 yaani miezi miwili , ndo maana unapewa laki 6 yani elfu 10 kwa kila siku kwa siku 60

Kuna ongezeko la Tsh 1500/= kwa mwaka wa masomo 2023/2024 maana zamani ilikua ni Tsh 8500/= kwa siku

Mimi nilikua tu nahitaji kufahamu je boom hutolewa baada ya muda gani baada ya kujisajili chuoni?
Wanasema ukishakamilisha usajili afisa mikopo kutoka HESLB ni jukumu lake ku submit haraka majina ya wanachuo waliojisajili kwa ajili ya kuingiziwa fedha kwenye akaunti.

Ni ndani ya wiki hadi wiki mbili mzigo unakuwa tayari.
 
Hivi jmn "Your application is being processed. Wait for final results"
Ntapewa kweli mie nikope kodi nitalipa nikipewa mkopo
 
Ujumbe huu unamaanisha nini wakuu? Msaada wenu
 

Attachments

  • IMG_5337.png
    IMG_5337.png
    44.6 KB · Views: 26
Back
Top Bottom