HESLB: Batch One Out Now

HESLB: Batch One Out Now

Mie dirisha la pili mpaka sahii sijaona kitu
Ni sahihi. Wapo waliotuma maombi ya chuo dirisha la nne na walikamilisha kutuma maombi HESLB Oktoba lakini tayari wameshapata allocation.

Wapo waliotuma Agosti lakini kimya hadi muda huu.
 
Muwe mnasoma na course priority, kuna kozi kupata mkopo ni ndoto..
Mzee hakuna cha course za kipaumbele wala nini kuna watu wanaenda kusoma MD, engineering na kadhalika lakini wamepata mkopo kiduchu kwenye ada kuliko hata mtu anayeenda course zisizo za kipaumbele.

Hilo nina uhakika nalo wala sio story za kuambiwa nina ndugu na marafiki walioomba.

Mkopo unatolewa sijui ni kwa bahati tu ama vipi maana kwenye ada wengi wamepangiwa 230,000 nadhani ni kwasababu bodi ya mikopo inataka kuhakikisha kila muombaji wa mkopo anapata mkopo.
 
Yaani ni kujidanganya tu kwamba sijui wanazingatia course za kipaumbele hakuna kitu kama hicho.

Mdogo wangu anasoma MD kachaguliwa MUHAS lakini kapata ada kiduchu kuliko hata wasio na course za kipaumbele.
Kama amepata ataongezewa asiwe na hofu
Alipie tu kilichobaki na appeal most wa muhas wanaongezewa lakin kamq hukupata kabisa icho ni kipengele
 
Kama amepata ataongezewa asiwe na hofu
Alipie tu kilichobaki na appeal most wa muhas wanaongezewa lakin kamq hukupata kabisa icho ni kipengele
Mwingine alichaguliwa kwenda Muhas mwaka jana alipata ada kidogo sana na hakuongezewa hadi leo anaingia second year.

Hilo la kuongezewa ni blah blah tu ila ukweli ni kwamba wanataka kila muombaji mwenye sifa apate mkopo japo kiasi fulani.
 
Duuh maana kulikuwa na refund more than 550+ students wameongezewa muhas
 
Mwaka huu kuna wanafunzi 75,000 walioomba mkopo mwaka wa kwanza undergraduate na kufikia sasa waliopata ni almost 70,000 bado kama 5,000 tu.

Yaani watoe mkopo kwa wanafunzi zaidi ya 70,000 waje wakwame kuwapa 5,000 waliosalia?

Bado wanaendelea na uchambuzi na kufanya allocation ndiyo maana wakasema kabla ya Novemba 3 watakuwa wametoa orodha ya wanafunzi wasiozidi 5,000 waliobaki kwakuwa ni wachache.
Marekebisho

Hapana walioomba ni takribani 100K+ ila lengo la HESLB ni kutoa ufadhili kwa wanafunzi wapya 75K
 
Marekebisho

Hapana walioomba ni takribani 100K+ ila lengo la HESLB ni kutoa ufadhili kwa wanafunzi wapya 75K
Kwaio hapo nisubiri batch ya mwisho
Screenshot_20231028-113839.jpg
 
Mzee hakuna cha course za kipaumbele wala nini kuna watu wanaenda kusoma MD, engineering na kadhalika lakini wamepata mkopo kiduchu kwenye ada kuliko hata mtu anayeenda course zisizo za kipaumbele.

Hilo nina uhakika nalo wala sio story za kuambiwa nina ndugu na marafiki walioomba.

Mkopo unatolewa sijui ni kwa bahati tu ama vipi maana kwenye ada wengi wamepangiwa 230,000 nadhani ni kwasababu bodi ya mikopo inataka kuhakikisha kila muombaji wa mkopo anapata mkopo.
Sa laki 2 ndio nn
 
Wanangu wametoa ile message wameeka hii

"Your application is being processed. Wait for final results"

Hawa jamaa wanakupuliza alaf wanakungata
 
Back
Top Bottom