HESLB: Batch One Out Now

HESLB: Batch One Out Now

Mie nadhani siamki hadi kesho.
Nmeishiwa nguvu
Mkopo utapata Endapo umetimiza vigezo vyao so endelea kuwa na tumaini na ikitokea haujawa allocated Kama upo DSM unaweza kwenda katika ofisi zao kipindi Cha rufaa so kukata rufaa ni bure tu labda ulipie stationary so kuwa na H O P E utapata

Naelewa unachomaanisha kuhusu Maisha ya chuo things are not easy hasa ukiwa unatoka familia ambazo bado hazina uhakika wa kula.

You shall overcome stay optimistic 💪
 
You shall overcome stay optimistic
I like this
 
Kukata rufaa mpk ufike ofisin kwao, Kuna maelekezo wanakupa au inakuwaje eti
 
Sababu za kuwahi na kuchelewa ni zipi?
Kuna form ya dogo uki review kuna sehemu inasema attach signed pages pana ka tick na rangi ya njano sio green kama zingine.
Inaweza ikawa sababu ya dogo kuchelewa kupata?
Hiyo sio sababu.....form nyingi zilikuwa hivyo
 
Sababu za kuwahi na kuchelewa ni zipi?
Kuna form ya dogo uki review kuna sehemu inasema attach signed pages pana ka tick na rangi ya njano sio green kama zingine.
Inaweza ikawa sababu ya dogo kuchelewa kupata?
Hiyo yellow na tick ni sawa kabisa. Kwani application status yake inasemaje?

Honestly sijui sababu za kuchelewa na kuwahi kupata allocation. Maana hapa nina madogo wawili. Mmoja alimaliza 3 days before deadline lakini ameshapata mkopo. Huyu mwingine alimaliza tangu August, bado anasubiri
 
Hiyo yellow na tick ni sawa kabisa. Kwani application status yake inasemaje?

Honestly sijui sababu za kuchelewa na kuwahi kupata allocation. Maana hapa nina madogo wawili. Mmoja alimaliza 3 days before deadline lakini ameshapata mkopo. Huyu mwingine alimaliza tangu august, bado anasubiri
Got you madame
 
Ile ile ya Wait for allocation process..
 
Mkopo utapata Endapo umetimiza vigezo vyao so endelea kuwa na tumaini na ikitokea haujawa allocated Kama upo DSM unaweza kwenda katika ofisi zao kipindi Cha rufaa so kukata rufaa ni bure tu labda ulipie stationary so kuwa na H O P E utapata

Naelewa unachomaanisha kuhusu Maisha ya chuo things are not easy hasa ukiwa unatoka familia ambazo bado hazina uhakika wa kula.

You shall overcome stay optimistic
Yani registration mwisho ijumaa ijayo.
Sina hata mia Niko tu na nauli za kutoka kwenda kushangaa wenzangu
 
Usajili wakisema ijumaa haimaniishi ndo ijumaa hiyo wameweka ila hata ukifanya usajili mwezi wa 12 bado utaruhusiwa then usajili ni ule wa kulipia other charges na sio tuition fees

Mfano Mimi nilifanya usajili tarehe 27 December 12 na kila kitu kikaendelea so ukilipa other charges ambayo sio hela kubwa unakuwa na Huwezo wa Kupata registration number ambayo itakuezesha kuendelea taratibu za chuo

So usipanic Mimi naelewa utaratibu na hata wadau wa hapa the home of Great thinkers watakwambia hiyo ijumaa haiwezi kuwa mwisho wameweka tu .
 
Kukata rufaa mpk ufike ofisin kwao, Kuna maelekezo wanakupa au inakuwaje eti
Hamna sio mpaka ufike ila kwa kuweka msistizo unaweza watimbia ili wakufanyie allocation before hawajatoa majibu ya rufaa easily
 
Yani registration mwisho ijumaa ijayo.
Sina hata mia Niko tu na nauli za kutoka kwenda kushangaa wenzangu
Katika MAISHA yako kuwa na Imani hata sio utakapokuwa chuo Sehemu yoyote amini katika Kupata usiamini katika kukosa usiwe negative ,

Utakuja kuelewa baadae umuhimu wa kuwa optimistic Kuna watu huwa wanakata tamaa Mapema Kuna watu hapa last year walitaka kukata tamaa ila mwisho walikata rufaa na wakapata asilimia mia .

Usiwe negative wherever what you going through stay hopefullness
 
Kabisa.
Watapata tu budget kubwa saiv.
 
Attachments

  • Screenshot_20231027-195229_1.jpg
    Screenshot_20231027-195229_1.jpg
    122.1 KB · Views: 17
Kuna wadau wengine waliofanikiwa kupangiwa mkopo batch 2 humu?

Maana wengi bado status inasoma wait for allocation process.

Jana akaunti zilikuwa hazieleweki sijui ndo walikuwa kwenye process ya kufanya allocation lakini kufikia asubuhi hii una login fresh ila status ndo bado ile ile.
 
Back
Top Bottom