Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

Angalau umepambanua ahsante mkuu maana mleta Uzi kasifia msafara wa Mamba hajui na Kenge wamo tena ndio wengi kuliko Mamba

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hao unaohisi wewe kwamba kwamba hawastahili pongezi, kwamba ni KENGE, wewe unawaona ni Mamba, kuna sehemu mwanamke mwenzako somewhere, na yeye anamuona ni KENGE tu.

Unaweza ukadhani BABA yako kwako ndo mwanaume wa kusifiwa zaidi duniani, kumbe kuna mama yko mdogo SOMEWHERE, anajuta kwanini alikutana nae.

Hata kaka yako, unaweza ukamsifia, kumbe kuna kabinti huko amekapotezea dira kabisa ya maisha na kanajuta kwanini kaka yko alizaliwa.

Kwahiyo, acha mleta mada asifie japo hayo machache lakini makubwa, aliyofanyiwa na jinsia ya kiume.

Na kwa maono yako yalivyo, hata kama ungefanyiwa MARA 7 YA ALIYOFANYIWA MLETA MADA (japo sijayajua ni yapi) usingeweza kusifia kama alivyoelezea mleta mada.

Jaribu kuwa appreciative japo kidogo. Epuka negativities huku ukiamini kwamba SISI NI BINADAMU PIA....!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi guys..!
Naomba hizi baraka za dhati ziwafikie WANAUME, Hasa wale wanaume wanaosimamia na kutekeleza majukumu yao ipasavyo..!

Nakumbuka muda mfupi uliopita I passed through a very rough road to hell..! Kuna zile nyakati kwenye maisha unatamani kabisa kama ujikane nafsi, yote yanayokusibu yawe tu ni kama ndoto mbaya, unatamani uamke asubuhi uone like everything is real okaaaay, but that's next to never sababu hard times ndiyo zinaleta maana khalisi ya maisha.!!

Nakumbuka nililia na kulia mpaka machozi yakakauka, lakini chozi langu, halikubadili hata chembe ya ugumu wa mlima ule, na wakati nalia lile 'tatizo' liko palepale tena 'limekunja nne na kuchezesha mguu mmoja, linakuambia kabisa Carleen wewe lia tu, ukimaliza just come and face the reality'..!!

Nilikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa ya kukubali kuwa nimeshindwa, jamii ingenielewa sababu ningejificha kwenye mwamvuli wa 'uanamke', wangesema tu 'she's just a lady, amepambana lakini imeshindikana', lakini sikutaka kuruhusu wala kukubali that comfort zone, I said to myself sintokubali kuwa defeated, the word 'FAILURE ain't on my dictionary'..!

Mwisho wa siku Mungu alinionekania, alinisimamia kiume, and I passed through that challenge, Akanifanikishia kibabe sana..!!

Wakati napitia that hard situation, nikawaza nafasi waliyonayo 'Wanaume', ambao hakuna namna jamii ama familia yake ingemuelewa kwamba kashindwa, yaani kashindwa? Kashindwaje? Tumejengewa kuamini they're like 'Undefeated Robots'..! Hakuna namna wataeleweka wasipotatua changamoto iliyopo mbele yao, na zaidi sana mwanaume utaishia kudharaulika na kuonekana mzembe, Man..! you're passing through hell of shi**s..!!

Na mbaya zaidi tunawabebesha mizigo mikubwa mikubwa ya matatizo bila kusahau 'misalaba mizito ya majukumu waibebe hadi Golgotha', na hatutegemei excuse yoyote kutoka kwao, kila tatizo walitatue haijalishi situation wako nayo ama ugumu uliopo, tunachojali tu ni solution imepatikana na maisha yanaenda.!! Huwa hatutaki kujua imekuwaje na wamewezaje, na mbaya zaidi tunaweza hata kuwaongezea tatizo lingine tena kwa juu walitatue, tunajua tu si 'Mwanaume bwana, atapambana tu'..!

MEN, May God Bless you abundantly, you're real true heroes..! Hizi baraka kutoka ndani ya moyo wangu, ziwafikie wababa bora wote wanaopigana na (watakaopigana) kwa ajili ya familia zao, you're doing a very remarkable great job.!!

Blesses..!!

Ubarikiwe kwa Kulitambua hilo Kwa Maana ni Wanawake wachache Wana uelewa kama wako. in Fact we're always Heroes... Aliimba Msondo Ngoma baba ya Mziki kwamba, " Mwanaume anapopata Matatizo Macho uwa Mekundu lakini Hakati tamaa". Mwanaumme akimbii Changamoto bali upambana na Ndio tofauti yake na Mwanamke... Again Blessed Lady.
 
Utakuwa mwanamke wa 5 baada ya mama yangu mzazi kwa kutambua wanaume tunapitia ugumu gani katika kuraise familia.na tunavilopitia magumu na still watu wanaishi
Mubarikiwe sana
 
Nashukuru sana mpendwa,
Baraka zimepokelewa zooote!!
Barikiwa sana pia..!!
 
Utakuwa mwanamke wa 5 baada ya mama yangu mzazi kwa kutambua wanaume tunapitia ugumu gani katika kuraise familia.na tunavilopitia magumu na still watu wanaishi
Mubarikiwe sana
Amina mpendwa..!!
Mzidi kupambana daima.!
 
Ameen my Dada.Umenipa nguvu na strengths sana sana.Ubarikiwe. Umenifanya nitake jua mambo mengi toka kwako.Nakuheshimu na naheshimu privacy ya mtu ndo Maana sijapenda kuja PM direct, kwani wakati mwingine PM huwa na tafsiri hasi hasa kwenu females mkifuatwa huko.

Kuwa na akili hii siku zote ya kutoa mada chanya na mawazo mazuri itaheshimika humu jf.Ingawa muda wa refresh Upo unaweza jadili funny things.Ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
I real feel this,
Shukrani sana kwa hili..!
Najiskia sana faraja kama nimeweza kutia nguvu kidogo kwenye hustle zako,
Kwangu hii ni zaidi ya baraka.! Naomba endelea kupambana mpaka tone la mwisho, na nina uhakika hii kwako itabaki ushuhuda, kama shuhuda nyingine, na kubwa zaidi itakuongezea ujasiri wa kupambana na tatizo lingine la aina yoyote.!

Ushauri wako nimepokea mpendwa.. Blesses.!
 
Sisi wanaume huwa tunapambana sana na sababu kubwa kwanza asili, yani mwanaume tangu enzi za Adamu na Eva tumeumbiwa kupambana, tumeandikiwa tutakula kwa jasho letu hiyo ipo kiasili kabisa, pili huwa kuna kuna external forces nyingi nyingi ikiwa moja ni unategemewa na watu wangapi, pia wanawake nyie pia mnatupa chachu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu azidi kuwabariki kipekee kabisa na muendelee kupambana daima.!!
 
Asante sana kulielewa hilo Careen. Hivi ndio umenikumbusha hapa kwamba kumbe wanaume tunabeba matatizo mengi na inatakiwa upambane nayo kila wakati. Na ni kweli umenifikisha mbali sana. Kuna muda nakuwa na matatizo huku hili,kule lile tena yakukatisha tamaa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamwe msikate tamaa, tunaomba mengi kwa ajili yenu..
Keep that fire burning..!!
 
Hi guys..!
Naomba hizi baraka za dhati ziwafikie WANAUME, Hasa wale wanaume wanaosimamia na kutekeleza majukumu yao ipasavyo..!

Nakumbuka muda mfupi uliopita I passed through a very rough road to hell..! Kuna zile nyakati kwenye maisha unatamani kabisa kama ujikane nafsi, yote yanayokusibu yawe tu ni kama ndoto mbaya, unatamani uamke asubuhi uone like everything is real okaaaay, but that's next to never sababu hard times ndiyo zinaleta maana khalisi ya maisha.!!

Nakumbuka nililia na kulia mpaka machozi yakakauka, lakini chozi langu, halikubadili hata chembe ya ugumu wa mlima ule, na wakati nalia lile 'tatizo' liko palepale tena 'limekunja nne na kuchezesha mguu mmoja, linakuambia kabisa Carleen wewe lia tu, ukimaliza just come and face the reality'..!!

Nilikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa ya kukubali kuwa nimeshindwa, jamii ingenielewa sababu ningejificha kwenye mwamvuli wa 'uanamke', wangesema tu 'she's just a lady, amepambana lakini imeshindikana', lakini sikutaka kuruhusu wala kukubali that comfort zone, I said to myself sintokubali kuwa defeated, the word 'FAILURE ain't on my dictionary'..!

Mwisho wa siku Mungu alinionekania, alinisimamia kiume, and I passed through that challenge, Akanifanikishia kibabe sana..!!

Wakati napitia that hard situation, nikawaza nafasi waliyonayo 'Wanaume', ambao hakuna namna jamii ama familia yake ingemuelewa kwamba kashindwa, yaani kashindwa? Kashindwaje? Tumejengewa kuamini they're like 'Undefeated Robots'..! Hakuna namna wataeleweka wasipotatua changamoto iliyopo mbele yao, na zaidi sana mwanaume utaishia kudharaulika na kuonekana mzembe, Man..! you're passing through hell of shi**s..!!

Na mbaya zaidi tunawabebesha mizigo mikubwa mikubwa ya matatizo bila kusahau 'misalaba mizito ya majukumu waibebe hadi Golgotha', na hatutegemei excuse yoyote kutoka kwao, kila tatizo walitatue haijalishi situation wako nayo ama ugumu uliopo, tunachojali tu ni solution imepatikana na maisha yanaenda.!! Huwa hatutaki kujua imekuwaje na wamewezaje, na mbaya zaidi tunaweza hata kuwaongezea tatizo lingine tena kwa juu walitatue, tunajua tu si 'Mwanaume bwana, atapambana tu'..!

MEN, May God Bless you abundantly, you're real true heroes..! Hizi baraka kutoka ndani ya moyo wangu, ziwafikie wababa bora wote wanaopigana na (watakaopigana) kwa ajili ya familia zao, you're doing a very remarkable great job.!!

Blesses..!!
[emoji120]

Sent from my SM-A507FN using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom