Mbona wenzio wengi hawalioni uliloliona wewe?. Unamfanyia mambo mengi,hata kushukuru tu kwa maandishi kama haya achilia mbali moja kwa moja haipo. Nina mtoto wangu ana jina kama lako,huyo tu ndio mwepesi kutambuaKamwe msikate tamaa, tunaomba mengi kwa ajili yenu..
Keep that fire burning..!!
BLESS YOU AND THANK YOU VERY MUCH!Hi guys.
Naomba hizi baraka za dhati ziwafikie WANAUME, Hasa wale wanaume wanaosimamia na kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
Nakumbuka muda mfupi uliopita I passed through a very rough road to hell. Kuna zile nyakati kwenye maisha unatamani kabisa kama ujikane nafsi, yote yanayokusibu yawe tu ni kama ndoto mbaya, unatamani uamke asubuhi uone like everything is real okaaaay, but that's next to never sababu hard times ndiyo zinaleta maana khalisi ya maisha.
Nakumbuka nililia na kulia mpaka machozi yakakauka, lakini chozi langu, halikubadili hata chembe ya ugumu wa mlima ule, na wakati nalia lile 'tatizo' liko palepale tena 'limekunja nne na kuchezesha mguu mmoja, linakuambia kabisa Carleen wewe lia tu, ukimaliza just come and face the reality'
Nilikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa ya kukubali kuwa nimeshindwa, jamii ingenielewa sababu ningejificha kwenye mwamvuli wa 'uanamke', wangesema tu 'she's just a lady, amepambana lakini imeshindikana', lakini sikutaka kuruhusu wala kukubali that comfort zone, I said to myself sintokubali kuwa defeated, the word 'FAILURE ain't on my dictionary'
Mwisho wa siku Mungu alinionekania, alinisimamia kiume, and I passed through that challenge, Akanifanikishia kibabe sana
Wakati napitia that hard situation, nikawaza nafasi waliyonayo 'Wanaume', ambao hakuna namna jamii ama familia yake ingemuelewa kwamba kashindwa, yaani kashindwa? Kashindwaje? Tumejengewa kuamini they're like 'Undefeated Robots'..! Hakuna namna wataeleweka wasipotatua changamoto iliyopo mbele yao, na zaidi sana mwanaume utaishia kudharaulika na kuonekana mzembe, Man..! you're passing through hell of shi**s.
Na mbaya zaidi tunawabebesha mizigo mikubwa mikubwa ya matatizo bila kusahau 'misalaba mizito ya majukumu waibebe hadi Golgotha', na hatutegemei excuse yoyote kutoka kwao, kila tatizo walitatue haijalishi situation wako nayo ama ugumu uliopo, tunachojali tu ni solution imepatikana na maisha yanaenda.!! Huwa hatutaki kujua imekuwaje na wamewezaje, na mbaya zaidi tunaweza hata kuwaongezea tatizo lingine tena kwa juu walitatue, tunajua tu si 'Mwanaume bwana, atapambana tu'.
MEN, May God Bless you abundantly, you're real true heroes..! Hizi baraka kutoka ndani ya moyo wangu, ziwafikie wababa bora wote wanaopigana na (watakaopigana) kwa ajili ya familia zao, you're doing a very remarkable great job.
Blesses.
Jiangalie na wema wako, wengine hawapendi kufanyiwa wemaNi mwema kila wakati.!
Wakati mwingine kinachotuumiza zaidi siyo tatizo bali ni ile 'attitude toward that problem'..!
Keep that positive attitude alive always!! Hilo nalo litapita salama.!!
😁Mimi ananifanyia kisirani afu nikimuuliza kwanini yupo hivo eti anasema ananogesha penziHaha..
Kati ya wadogo zangu wako very humble ni Lenie jamani Shem, kisirani kaanza linii tena..??
jamani ,umeisahau ile “since when”Ananisingizia tu huyo sis, wala usimuamini
Akili kubwa natamani uwe my wifeHi guys.
Naomba hizi baraka za dhati ziwafikie WANAUME, Hasa wale wanaume wanaosimamia na kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
Nakumbuka muda mfupi uliopita I passed through a very rough road to hell. Kuna zile nyakati kwenye maisha unatamani kabisa kama ujikane nafsi, yote yanayokusibu yawe tu ni kama ndoto mbaya, unatamani uamke asubuhi uone like everything is real okaaaay, but that's next to never sababu hard times ndiyo zinaleta maana khalisi ya maisha.
Nakumbuka nililia na kulia mpaka machozi yakakauka, lakini chozi langu, halikubadili hata chembe ya ugumu wa mlima ule, na wakati nalia lile 'tatizo' liko palepale tena 'limekunja nne na kuchezesha mguu mmoja, linakuambia kabisa Carleen wewe lia tu, ukimaliza just come and face the reality'
Nilikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa ya kukubali kuwa nimeshindwa, jamii ingenielewa sababu ningejificha kwenye mwamvuli wa 'uanamke', wangesema tu 'she's just a lady, amepambana lakini imeshindikana', lakini sikutaka kuruhusu wala kukubali that comfort zone, I said to myself sintokubali kuwa defeated, the word 'FAILURE ain't on my dictionary'
Mwisho wa siku Mungu alinionekania, alinisimamia kiume, and I passed through that challenge, Akanifanikishia kibabe sana
Wakati napitia that hard situation, nikawaza nafasi waliyonayo 'Wanaume', ambao hakuna namna jamii ama familia yake ingemuelewa kwamba kashindwa, yaani kashindwa? Kashindwaje? Tumejengewa kuamini they're like 'Undefeated Robots'..! Hakuna namna wataeleweka wasipotatua changamoto iliyopo mbele yao, na zaidi sana mwanaume utaishia kudharaulika na kuonekana mzembe, Man..! you're passing through hell of shi**s.
Na mbaya zaidi tunawabebesha mizigo mikubwa mikubwa ya matatizo bila kusahau 'misalaba mizito ya majukumu waibebe hadi Golgotha', na hatutegemei excuse yoyote kutoka kwao, kila tatizo walitatue haijalishi situation wako nayo ama ugumu uliopo, tunachojali tu ni solution imepatikana na maisha yanaenda.!! Huwa hatutaki kujua imekuwaje na wamewezaje, na mbaya zaidi tunaweza hata kuwaongezea tatizo lingine tena kwa juu walitatue, tunajua tu si 'Mwanaume bwana, atapambana tu'.
MEN, May God Bless you abundantly, you're real true heroes..! Hizi baraka kutoka ndani ya moyo wangu, ziwafikie wababa bora wote wanaopigana na (watakaopigana) kwa ajili ya familia zao, you're doing a very remarkable great job.
Blesses.
Weeeeeeee tema mate chini...Una akili sana wewe mwanamke!! Hata uwezo wako wa kufikiri ni mkubwa!!
Nikukumbushe namba yako naweza nikarusha kitu kidogo!! Napenda mwanamke mwenye mtazamo chanya!! Kwa maelezo hayo tu inaonekana hata kuchepuka huchepukagi tofauti na akina nanii wale wenye sendo za manyoya...😀
Hili nalo nen fcz usipambane huku ukitegemea kuwa appreciated na kiumbe "Ke".Musiache kutusifu hata siku tukirudi hatuna cha kuwapa...
Maana mapambio yenu ni pale mmeshiba na kusaza.
Nlikua nataniajamani ,umeisahau ile “since when”
Nlikua natania