Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,214
- 50,188
Si ndiošMimi ananifanyia kisirani afu nikimuuliza kwanini yupo hivo eti anasema ananogesha penzi
Si ndiošMimi ananifanyia kisirani afu nikimuuliza kwanini yupo hivo eti anasema ananogesha penzi
Ni vizuri kumsifia na kutambua jitahada za mwanaume awe wako au kaka yako, baba yako, mdogo wako , kuna ushauri huwa nawambiaga wanawake kuwa na tabia nzuri na ya kujenga ya kuwasifia waume zao na hapo utaona mume atakavyojituma zaidi ya pale na pia baraka mtaziona, wewe umejitahidi sana kuona hilo mapema,Mungu azidi kuwabariki kipekee kabisa na muendelee kupambana daima.!!
Haha.
Muoneee.! thanks anyway mpendwa!
Ila mkuu, asilimia kubwa ya wanawake wasomi ndio wanaongoza kwa kuwapa wanaume stress. Kwanza hawataki kabisa kufuata miongozo ya ndoa.Ni suala la Elimu na muda tu nadhani, let's hope for the best, hayo yatakuwako siku moja.!!
Nimepata mixture of feelings nilipokua nasoma hii thread kwanza nimejiskia Huzuni sana kwa sababu muandika thread Carleen kipindi alichopitia mpk kuamua kufikiria upande wetu kiumeni ni kipindi kisicho na maelezo mepesi kuweza kuelezeka,kwa mwanamke kupitia kipindi hicho asee yahitaji huyu mtu apewe pole,naomba nikupe pole Carleen pole sana sweetlove hii ndio dunia yetu tunayoishi hatuna budi kukubaliana na uhalisia wa maisha yetu.
Lakini pia nimefurahi sana na kujiskia raha kwasababu kuna mtu ametambua kuwa wanaume kuna nyakati ngumu sana sana tunapitia ktk haya maisha na ktk mapito hayo jamii haituelewi lkn wapo wengine mpk wanaamua kujinyonga au kunywa sumu kwasababu mizigo bado n mizito na jamii nayo inaendelea kukandamiza vitu Haielewi wala haimuelewi huyu mtu wala sababu zozote atakazotoa.
Leo anatokea mwanamke mmoja anatambua kile wanaume tunachopitia yani inakua n kama Mwanajeshi alietoka vitani IRAQ kakoswa koswa na mabomu,mengine yamempata karudii kilema wengine vipofu Halafu siku ya kurudi anapokelewa pale Airport na watu wengiiiiiiiiiiii wamebeba maua wanamkabidhi na kumwambia "pole baba" "hongera kaka" zile pole si kitu,yale maua si kitu kulinganisha na mapito ya kule Vitani lkn furaha anayoipata huyu mjeshi Haielezeki.
Nataka kusema nini kupitia hii thread yako Carleen kuna mtu yupo mahali sasa hv anapitia wakati mgumu sana lkn kwa kusoma hii thread umempush na kumuongezea life Bars,kama zilikua zmebaki 3 bars sasa hivi mnara umeongezeka zinasoma 9+,amini nakwambia wapo watu wanapambana wenyewe No ndugu no rafiki no Jirani ni yeye na miguu yake,akiumwa analala hapo ndani anajipikia Uji kwa shida mpk anapona Tena na kusimama,Asee Carleen nikwambie kitu dear Friend "Thank You".
Wakati nasoma hii thread yako Background nilikua nimeweka Repeat hizi nyimbo mbili ambazo zote zimetoa shukurani na kum'bariki MAMA,wewe ni mwanamke ambae ni Mama kwa mtoto mwingine,n mama kwa mwanaume yeyote yule na kwa thread yako hii nakupa nyota zote za u Mama Bora
Naomba hizi nyimbo Mbili zikuonyeshe how Thankfull i am...
The First One
The Second One
Wanawake wote mnaotambua umuhimu na Thamani/michango yetu Mungu awabariki sana,sina lakuweza kusema kwa kila mmoja wenu ila natamani mtambue tu Neno 1 kutoka kwangu ASANTE.
Hakuna aliyekubishia mkuu. So huna haja ya kuwa TRUSTED...!! Hao wapo sana tu.Trust me nimeshawahi kuishi na mwanamke hajuagi kuapriciate kabisa na hajui kusema Asante wala samahani. ndani ni ugomvi kila iitwapo Leo mpaka ikafika mda nikawa kula mzingo na kujihisi na tatizo la nguvu za kiume kwa stress alizokuwa akinipa yule malaya wa kihehe! Girls jifunzeni kupitia huu uzi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ulichokosea ni WEWE KUAMUA KUISHI NA MALAYA...!!! Sasa ilikuwaje mpaka ukachukua malaya bro?? Angekuwa appreciative wakati ni malaya, mimi ningeshangaa. Malaya hawanaga hizo na hawajali.Trust me nimeshawahi kuishi na mwanamke hajuagi kuapriciate kabisa na hajui kusema Asante wala samahani. ndani ni ugomvi kila iitwapo Leo mpaka ikafika mda nikawa kula mzingo na kujihisi na tatizo la nguvu za kiume kwa stress alizokuwa akinipa yule malaya wa kihehe! Girls jifunzeni kupitia huu uzi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bila shakaNi wanawake adim sana wanaotambua mzigo wanaoubena wanaume.
The rest wanajua kukamua tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo wakati wote mtakuwa appreciated kwa maneno, wakati mwingine mtaenziwa kwa matendo huku mkiombewa kila iitwapo Leo.!Hili nalo nen fcz usipambane huku ukitegemea kuwa appreciated na kiumbe "Ke".
Utakua dissapointed sana.
Cha muhimu kwetu wanaume tuendlee kupambana kwa ajili ya watoto wetu ILI WAKIKUA WAIMBE "NANI KAMA MAMA"
Ahsante sana mpendwa, nadhani kila mmoja anatambua na ana namna yake ya kutoa appreciation..!!Ni vizuri kumsifia na kutambua jitahada za mwanaume awe wako au kaka yako, baba yako, mdogo wako , kuna ushauri huwa nawambiaga wanawake kuwa na tabia nzuri na ya kujenga ya kuwasifia waume zao na hapo utaona mume atakavyojituma zaidi ya pale na pia baraka mtaziona, wewe umejitahidi sana kuona hilo mapema,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni ule uhuru wa fikra wanaoupata kwenye elimu zao.. Na siyo makosa yao ukizingatia elimu zenyewe ni za mapokeo kutoka kwa wenzetu, tunaiga mpaka mfumo wao wa kijamii ambao hauwi applicable kwa tamaduni zetu.!Ila mkuu, asilimia kubwa ya wanawake wasomi ndio wanaongoza kwa kuwapa wanaume stress. Kwanza hawataki kabisa kufuata miongozo ya ndoa.