Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,818
We salute u,....... Wanawake wachache sana wanapata muda wa kuwaza uhalisia kama wewe, ubarikiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana tena sana. Wakati flani huwa siamini kabisa kwamba itatokea mwanamke akajakuthamini jitihada za mwanaume katika familia. Wanaume katika familia tumepewa mizigo mingi na mizito. Lakini huwa namshanga Mungu jinsi anavyotusimamia.Heshima ziende kwenu ladies wote mnaotambua juhudi za wanaume wanao wajibika na mnawapa support. Awe kaka, mume, mzazi,rafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pendael, Paula anakupa heshima za kipekee. Tafadhali zipokee na endelea kumpambania mke wako na familia.Asante sana binti mzuri kwa kutambua umuhimu wetu kwenye majukumu ya maisha katika ustawi wa familia.
Wakati fulani niliwahi kumlaumu mzee wangu kwa aina ya maisha alio nayo sasa baada ya kumalia malezi ya watoto wote.
Leo hii nami niko na familia, mapitio ninayopita najutia kumlaumu baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna sehem ngumu ni hapo dem ageuke aswme" haya sema sasa nakusikiliza" mbingu inaweza kugeuka
Ni wanawake adim sana wanaotambua mzigo wanaoubena wanaume.Heshima ziende kwenu ladies wote mnaotambua juhudi za wanaume wanao wajibika na mnawapa support. Awe kaka, mume, mzazi,rafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyezi Mungu aendelee kukubariki 🙏🙏, utaupata mkate ulio zaidi ya huo.Asante sn kwa appreciation.Kama mwanaume Mimi ni siku 2 sasa nakula ndizi 2 tuu kwa siku nashinda na nalala.Hii ni kwa sababu nilitakiwa tuma fedha home ili kuokoa mama na wanafamilia.Na mfukoni nilibakiwa na kidogo,ndo hichohicho nikatuma.Japo nakula ndizi 2 but ni fresh tu.
Sent using Jamii Forums mobile app