Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

Daaaah...!!
Mungu akupiganie kiume, utapita hapo salama I do promise..!
Baraka zenye ujazo daima zikawe nawe..!!
Asante sn mama.Namshukuru Mungu kwa Kila jambo na Kila hatua.Nipo naendelea kupambana na Leo ni siku ya 3 sielewi itakuwaje? Ajabu ni kwamba Nipo normal kabisa na ukiniona huwezi jua kitu.Nitamenya ndizi zangu 2 ama 3 naweka kwny mafuta nitakunywa na maji.Mungu ni mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daa
Pendael, Paula anakupa heshima za kipekee. Tafadhali zipokee na endelea kumpambania mke wako na familia.
My hat's off to you.
Asante sana dadaa, nazipokea hwa heshima na taadhima ingawa ni wajibu unipasao kuutekeleza wala haistahili pongezi wala shukrani. Ila inapotokea upande wa pili kuona walao situation tunayopita inastahili kutiwa moyo, huwa tunafarijika mno na kuongeza bidii. Asanteee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woow'..!
Nimependa hapo 'mbarikiwe mpaka mshangae'!!
Amina mingi mingi mpendwa, Nimezipokea baraka, tubarikiwe sote pia.!

Amen dada mkuu ndio baraka zenyewe hizo zimeanza kudhihirika ndani ya komenti[emoji16]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Heshima kwako kwanza unayetambua kua mwanaume ana nafasi ngumu sana...pili kama uko karibu na duka lolote henu ingia hapo mrembo chukua nguo yoyote nitalipa ili J'pili tukasheherekee disco la makonda fresh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi guys..!
Naomba hizi baraka za dhati ziwafikie WANAUME, Hasa wale wanaume wanaosimamia na kutekeleza majukumu yao ipasavyo..!

Nakumbuka muda mfupi uliopita I passed through a very rough road to hell..! Kuna zile nyakati kwenye maisha unatamani kabisa kama ujikane nafsi, yote yanayokusibu yawe tu ni kama ndoto mbaya, unatamani uamke asubuhi uone like everything is real okaaaay, but that's next to never sababu hard times ndiyo zinaleta maana khalisi ya maisha.!!

Nakumbuka nililia na kulia mpaka machozi yakakauka, lakini chozi langu, halikubadili hata chembe ya ugumu wa mlima ule, na wakati nalia lile 'tatizo' liko palepale tena 'limekunja nne na kuchezesha mguu mmoja, linakuambia kabisa Carleen wewe lia tu, ukimaliza just come and face the reality'..!!

Nilikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa ya kukubali kuwa nimeshindwa, jamii ingenielewa sababu ningejificha kwenye mwamvuli wa 'uanamke', wangesema tu 'she's just a lady, amepambana lakini imeshindikana', lakini sikutaka kuruhusu wala kukubali that comfort zone, I said to myself sintokubali kuwa defeated, the word 'FAILURE ain't on my dictionary'..!

Mwisho wa siku Mungu alinionekania, alinisimamia kiume, and I passed through that challenge, Akanifanikishia kibabe sana..!!

Wakati napitia that hard situation, nikawaza nafasi waliyonayo 'Wanaume', ambao hakuna namna jamii ama familia yake ingemuelewa kwamba kashindwa, yaani kashindwa? Kashindwaje? Tumejengewa kuamini they're like 'Undefeated Robots'..! Hakuna namna wataeleweka wasipotatua changamoto iliyopo mbele yao, na zaidi sana mwanaume utaishia kudharaulika na kuonekana mzembe, Man..! you're passing through hell of shi**s..!!

Na mbaya zaidi tunawabebesha mizigo mikubwa mikubwa ya matatizo bila kusahau 'misalaba mizito ya majukumu waibebe hadi Golgotha', na hatutegemei excuse yoyote kutoka kwao, kila tatizo walitatue haijalishi situation wako nayo ama ugumu uliopo, tunachojali tu ni solution imepatikana na maisha yanaenda.!! Huwa hatutaki kujua imekuwaje na wamewezaje, na mbaya zaidi tunaweza hata kuwaongezea tatizo lingine tena kwa juu walitatue, tunajua tu si 'Mwanaume bwana, atapambana tu'..!

MEN, May God Bless you abundantly, you're real true heroes..! Hizi baraka kutoka ndani ya moyo wangu, ziwafikie wababa bora wote wanaopigana na (watakaopigana) kwa ajili ya familia zao, you're doing a very remarkable great job.!!

Blesses..!!
Ameen ameen, It takes a wise woman to know the position of a man. The woman who knows the position of a man, is a 'woman enough'.
God bless you Madam Carleen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Carleen Naomba namba yako ya Simu nikutumie zawadi ,nothing else, l promise.You made me feel juhudi zangu Sio bure kuna watu( najua mpo wengi )Wamegundua tunataabika,tell my Wife kwenye kikao chenu kijacho,Though she is not pushy aendelee kubaki hivyo hivyo
Juhudi zako siyo bure kamwe, pambana ukiamini hivyo.!!
She do appreciate your efforts naamini hilo hata asiposema kwa maneno lakini huomba kila siku kwa ajili yako..!!
 
Nafikiri hawa marioooz, zero brains, watu wa kucheck television all the time, no creativity, wanaowaachia wake majukumu makubwa, wanaochanga bajeti na wake zao na kuchangia nusu kwa nusu hawahusiki na pongezi hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Absolutely,
Hizi ni baraka tu kwa wale wanaopambana kwa ajili ya familia zao.!!
 
Hahaa,
Fanya hivyo na nitafunga na kuomba kwa ajili yako.!!
Ulishaona wapi shetani anaombewa..??
Halafu nyinyi ndo mnaanzaga wenyewe si unaona ulichokiandika
Unafikiri mimi kama mtoto wa kiume nitakuomba nini hatimae.😅
Unataka baadae uje unianzishie uzi bure nimekutenda..😜
 
Back
Top Bottom