Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

Abee brod darling.

Kuwa"mwanaume" comes with lots of responsibilities and sacrifices.

There was this day tulikuwa tunajiongelesha; kwamba watoto wa kike ni asset; hawawezi kusahau kuhudumia nyumbani kwa wazazi wao blah blah blah. But the truth is hawasahau nyumbani; ila wanachojaaliwa inawezekana hakimtoshelezi kila anayewategemea. Imagine being a father to many; a hubby to your wife, a son/brother/uncle/in law etc. Afu wote hao wanakutazama wewe for affection, attention, knowledge,financial security; yaani you are simply a problem solver to everyone; hujadondoka tu kwa presha? Afu unakuta sasa wewe ndo Mengi wa ukoo; all eyes on you na kila mtu anatarajia kupokea msaada kutoka kwako wakati wowote mweee. Hapo bado kazi/biashara inakukimbiza mbio za haja

As carleen said; the pressure from this world can make you commit suicide (God forbid). You are a man; so failure aint an option to you. And once you fail; you haven't just failed yourself; but also everyone depending on you. You are not supposed to give up, nor crying, nor lacking anything nor becoming helpless; coz you are a super hero to many and the answer to their problems.....uuuuuuuuh
Kwa kweli Mungu awabariki tu all responsible men.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pesa zangu watazifaidi mke na watoto wangu tu, ndugu wengine wapite kushoto, sitowapa hata sh kumi maana ukifulia wao ndo watakucheka na watakutenga Heaven Sent
 
Nimeona kuna mambo mengne anakuzushia na kukusingizia.sasa mkuu mm siwez kuona unapakaziwa halaf nikae kimya.lazima nikutetee boss
😂 😂 😂
Next time wakinizushia mambo mazuri naomba na wewe unipakazie vizuri kabisa..
Ila mambo mabaya upigane mpaka ngumi tafadhali..
 
Bora umetoka mafichoni sis darling, mwandiko wako unajitosheleza. Asante kwa haya madini plus complement uliyotupa, it's really not easy, mzigo unaweza kuwa mzito sana but when you guys are beside us, gurudumu lazima lisonge.

Failure isn't in our vocabularies. [emoji120] Sis darling.
Ujue brod darling nilibahatika kuwa the closest to my father; so kuna vitu nilikuwa najifunza kwa uhalisi zaidi.

No wonder kuna watu wanaweza wakawa wanapata hela nzuri ila huoni maendeleo; kwa sababu ya kusaidia wengine (which is the right thing pia). When you have a good heart; huwezi kuona ndugu zako wanasuffer afu ukawaacha kisa tu wanakupunguzia speed ya maendeleo; utawasaidia tu; na ndo maana umaskini kuisha ni kazi coz utegemezi ni mkubwa sana. Afu usikute wewe mwenyewe ulisaidiwa na kina mjomba, ba mkubwa kufika hapo; lazima utalipa fadhila. Sasa utashangaa hata yule ambaye ana uwezo wa kupambana akasimama mwenyewe; bado atataka umsaidie kusimama.

Lets not forget about those relatives who are ingrates. Ukibadilisha gari kosa; ukisomesha watoto shule nzuri kosa, ukijenga nyumba nyingi utaulizwa zote za nini sasa. Yaani hela zako wanazipigia mahesabu ziwasaidiege wao tu; wewe hata ukinywa soda ni kosa. Mwingine anajikuta father Abraham; anazalisha tu kila kitongoji afu anategemea umsaidie kumlelea watoto wake aseeeeeeee

Sisi kama wake zenu; Mungu azidi kutujalia hekima na maarifa ya kusimama na ninyi katika hali zote. Mkawe na watu wa kuwapa faraja when things are not ok. Yaani kuambiwa tu "mume wangu; it's going to be well" inatia nguvu as if umeshatoka kwenye hiyo changamoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa zangu watazifaidi mke na watoto wangu tu, ndugu wengine wapite kushoto, sitowapa hata sh kumi maana ukifulia wao ndo watakucheka na watakutenga Heaven Sent
Sidhani kama una roho ngumu kiasi cha kuona ndugu zako wanasuffer afu wewe ukauchuna kimya wakati uwezo wa kuwasaidia unao. Kumsaidia ndugu kunatakiwa kufanyike kwa sababu tu moyo wako umeamua hivyo, na sio kwa sababu unategemea huko mbeleni watakuja kukusaidia. Unayemsaidia leo; sio guarantee kuwa atakuja kukusaidia kesho; mwingine ndo atakucheka tu: lakini usichoke kusaidia. Kuna watu wengine wametuumiza sana lakini unakuta wanapitia hali mbaya sana; so unaamua tu kusaidia watoto wao maybe wawe sehemu salama kidogo. Tusichoke kutenda mema kwa ndugu zetu;lakini la msingi zaidi tusiache kusecure future za familia zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue brod darling nilibahatika kuwa the closest to my father; so kuna vitu nilikuwa najifunza kwa uhalisi zaidi.

No wonder kuna watu wanaweza wakawa wanapata hela nzuri ila huoni maendeleo; kwa sababu ya kusaidia wengine (which is the right thing pia). When you have a good heart; huwezi kuona ndugu zako wanasuffer afu ukawaacha kisa tu wanakupunguzia speed ya maendeleo; utawasaidia tu; na ndo maana umaskini kuisha ni kazi coz utegemezi ni mkubwa sana. Afu usikute wewe mwenyewe ulisaidiwa na kina mjomba, ba mkubwa kufika hapo; lazima utalipa fadhila. Sasa utashangaa hata yule ambaye ana uwezo wa kupambana akasimama mwenyewe; bado atataka umsaidie kusimama.

Lets not forget about those relatives who are ingrates. Ukibadilisha gari kosa; ukisomesha watoto shule nzuri kosa, ukijenga nyumba nyingi utaulizwa zote za nini sasa. Yaani hela zako wanazipigia mahesabu ziwasaidiege wao tu; wewe hata ukinywa soda ni kosa. Mwingine anajikuta father Abraham; anazalisha tu kila kitongoji afu anategemea umsaidie kumlelea watoto wake aseeeeeeee

Sisi kama wake zenu; Mungu azidi kutujalia hekima na maarifa ya kusimama na ninyi katika hali zote. Mkawe na watu wa kuwapa faraja when things are not ok. Yaani kuambiwa tu "mume wangu; it's going to be well" inatia nguvu as if umeshatoka kwenye hiyo changamoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wow..
Kipande kizuri hiki nimesoma, ubarikiwe!
 
Hi guys.

Naomba hizi baraka za dhati ziwafikie WANAUME, Hasa wale wanaume wanaosimamia na kutekeleza majukumu yao ipasavyo.

Nakumbuka muda mfupi uliopita I passed through a very rough road to hell. Kuna zile nyakati kwenye maisha unatamani kabisa kama ujikane nafsi, yote yanayokusibu yawe tu ni kama ndoto mbaya, unatamani uamke asubuhi uone like everything is real okaaaay, but that's next to never sababu hard times ndiyo zinaleta maana khalisi ya maisha.

Nakumbuka nililia na kulia mpaka machozi yakakauka, lakini chozi langu, halikubadili hata chembe ya ugumu wa mlima ule, na wakati nalia lile 'tatizo' liko palepale tena 'limekunja nne na kuchezesha mguu mmoja, linakuambia kabisa Carleen wewe lia tu, ukimaliza just come and face the reality'

Nilikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa ya kukubali kuwa nimeshindwa, jamii ingenielewa sababu ningejificha kwenye mwamvuli wa 'uanamke', wangesema tu 'she's just a lady, amepambana lakini imeshindikana', lakini sikutaka kuruhusu wala kukubali that comfort zone, I said to myself sintokubali kuwa defeated, the word 'FAILURE ain't on my dictionary'

Mwisho wa siku Mungu alinionekania, alinisimamia kiume, and I passed through that challenge, Akanifanikishia kibabe sana

Wakati napitia that hard situation, nikawaza nafasi waliyonayo 'Wanaume', ambao hakuna namna jamii ama familia yake ingemuelewa kwamba kashindwa, yaani kashindwa? Kashindwaje? Tumejengewa kuamini they're like 'Undefeated Robots'..! Hakuna namna wataeleweka wasipotatua changamoto iliyopo mbele yao, na zaidi sana mwanaume utaishia kudharaulika na kuonekana mzembe, Man..! you're passing through hell of shi**s.

Na mbaya zaidi tunawabebesha mizigo mikubwa mikubwa ya matatizo bila kusahau 'misalaba mizito ya majukumu waibebe hadi Golgotha', na hatutegemei excuse yoyote kutoka kwao, kila tatizo walitatue haijalishi situation wako nayo ama ugumu uliopo, tunachojali tu ni solution imepatikana na maisha yanaenda.!! Huwa hatutaki kujua imekuwaje na wamewezaje, na mbaya zaidi tunaweza hata kuwaongezea tatizo lingine tena kwa juu walitatue, tunajua tu si 'Mwanaume bwana, atapambana tu'.

MEN, May God Bless you abundantly, you're real true heroes..! Hizi baraka kutoka ndani ya moyo wangu, ziwafikie wababa bora wote wanaopigana na (watakaopigana) kwa ajili ya familia zao, you're doing a very remarkable great job.

Blesses.
Heshima kubwa kwako unayetambua haya... !! MUNGU AKUBARIKI SANA
 
Ingekuwa akina mama nyote mnatambua hivi, dah!! Ubarikiwe sana kwa kulijua hili. Ila ndiyo hivyo, tumeshakuwa wanaume, hatuna sababu ya kulalamika kwa yeyote. Ni nature iko hivyo, na uzuri hata sisi tunatambua kuwa yote tunayopitia ndiyo yanamalizia maneno ya mwisho kwenye definition ya "mwanaume"
 
Hi guys.

Naomba hizi baraka za dhati ziwafikie WANAUME, Hasa wale wanaume wanaosimamia na kutekeleza majukumu yao ipasavyo.

Nakumbuka muda mfupi uliopita I passed through a very rough road to hell. Kuna zile nyakati kwenye maisha unatamani kabisa kama ujikane nafsi, yote yanayokusibu yawe tu ni kama ndoto mbaya, unatamani uamke asubuhi uone like everything is real okaaaay, but that's next to never sababu hard times ndiyo zinaleta maana khalisi ya maisha.

Nakumbuka nililia na kulia mpaka machozi yakakauka, lakini chozi langu, halikubadili hata chembe ya ugumu wa mlima ule, na wakati nalia lile 'tatizo' liko palepale tena 'limekunja nne na kuchezesha mguu mmoja, linakuambia kabisa Carleen wewe lia tu, ukimaliza just come and face the reality'

Nilikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa ya kukubali kuwa nimeshindwa, jamii ingenielewa sababu ningejificha kwenye mwamvuli wa 'uanamke', wangesema tu 'she's just a lady, amepambana lakini imeshindikana', lakini sikutaka kuruhusu wala kukubali that comfort zone, I said to myself sintokubali kuwa defeated, the word 'FAILURE ain't on my dictionary'

Mwisho wa siku Mungu alinionekania, alinisimamia kiume, and I passed through that challenge, Akanifanikishia kibabe sana

Wakati napitia that hard situation, nikawaza nafasi waliyonayo 'Wanaume', ambao hakuna namna jamii ama familia yake ingemuelewa kwamba kashindwa, yaani kashindwa? Kashindwaje? Tumejengewa kuamini they're like 'Undefeated Robots'..! Hakuna namna wataeleweka wasipotatua changamoto iliyopo mbele yao, na zaidi sana mwanaume utaishia kudharaulika na kuonekana mzembe, Man..! you're passing through hell of shi**s.

Na mbaya zaidi tunawabebesha mizigo mikubwa mikubwa ya matatizo bila kusahau 'misalaba mizito ya majukumu waibebe hadi Golgotha', na hatutegemei excuse yoyote kutoka kwao, kila tatizo walitatue haijalishi situation wako nayo ama ugumu uliopo, tunachojali tu ni solution imepatikana na maisha yanaenda.!! Huwa hatutaki kujua imekuwaje na wamewezaje, na mbaya zaidi tunaweza hata kuwaongezea tatizo lingine tena kwa juu walitatue, tunajua tu si 'Mwanaume bwana, atapambana tu'.

MEN, May God Bless you abundantly, you're real true heroes..! Hizi baraka kutoka ndani ya moyo wangu, ziwafikie wababa bora wote wanaopigana na (watakaopigana) kwa ajili ya familia zao, you're doing a very remarkable great job.

Blesses.
kind of wife material, u know shit and men we face SHIT
 
Back
Top Bottom