Heshima kitu cha bure tumheshimu Raisi wetu

Heshima kitu cha bure tumheshimu Raisi wetu

Nimelazimika kuanzisha hii thread baada ya kuona watu wamesahau kuwa rais ni kiongozi mkuu kuliko wote katika nchi yoyote hapa duniani.

HIVYO basi tuna wa jibu si tu kumheshimu ila pia kumsaidia kulinda heshima yake daima.

Hakuna asiye juwa kuwa sisi wenyewe ndio tulimchagua kikwete kwa Kura nyingi huku tukiwa na akili timamu na bila kushawishiwa na mtu yeyote iwe kwa fedha au maneno.

Sasa kama tulikosea aibu ni yetu sisi wenyewe na haina maana sasa kuanza kumdharau kumkejeli au kumkosea heshima prof. Kikwete.

Mbona marekani china na nchi mbali mbali anaheshimika ? Mbona vyuo mbali mbali vinamtunuku shahada kila kukicha?

Sasa iweye sisi tusimheshimu?

Hili ni kosa pia ni dhambi kwa kuwa hata biblia inasisitiza tuwaheshimu viongozi wetu.

Pia tuache kumwita rais majina yasio faa

Mfano

Mh.tezi dume

Prof. Wa kichina

Naomba tubadilike.


Tangu lini Mwizi jambazi akaheshimika? Heshima yake kajichafulia mwenyewe kutokana na vitendo vyake vya kuiba kura kulea majangili na mafisadi pale Magogoni. Ni kajizi kalikolitia taifa hasara kubwa na kanaendelea kulea majangili. Heshima haitafutwi huja kutokana na matendo.
 
Ni kweli kwa imani yangu ya kikristu inaniagiza kuziheshimu mamlaka zilizopo duniani.
Pia naambiwa niziombee
1. Timotheo 2:1-3
1 Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote;
2 kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu.
3 Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu;


Lakini ukweli kuna mambo mengine yanaudhi sana hata kufikia watu kughafirika na kutoa yao ya moyoni.
 
Nyuzi nyingine wala si za kuanzisha, wewe mleta uzi ndio humheshimu kabisa Rais maana wewe ndio "umeprovoke" watu waseme yote haya, kama ungekaa kimya wala haya yote yasingetokea. Mi nafikiri mleta uzi ndio huna heshima kabisa kwa Rais kwa kuleta uzi kama huu ilhali ukijua kabisa nini watu watachangia humu, Unaona sasa. Kama mimi ni Rais naanza na wewe.
 
Heshima lazima itoke pande zote mbili. Haina maana yoyote kwa baba kudai heshima wakati yeye hajiheshimu mbele ya wanawe. Niliwahi kutoa mfano huu. Kama wewe ni mwanaume una mke wako. Halafu babako anajichekesha chekesha kwa mkeo, akamshikashika matiti, nk. Je, utakaa kimya na kusema ah ni baba huyo?
Kwa imani zetu za Kiafrika, hata radhi hawezi kutoa baba ambaye ameshindwa kujiheshimu akaivuruga nafasi yake.
I am sorry, the guy does not deserve respect. He has utterly failed to respect himself, his office and his people. He is an inept clown who deserves our utmost contempt.
 
Juzi pale diamond jubilee hao ccm wenyewe wameshindwa kumuheshimu rais ...wakati anamaliza kuongea kuna watu walianza kutoka nje ...hilo halikubaliki ...rais akimaliza kuongea au hata mgeni wa heshima ..adabu tuliyofunzwa ninkubakia mmekaa kwa utulivu hadi yeye awe ametoka nje
 
Moja ya PHD alizonazo Mr. Kikwete ni ya Uhusiano wa kimataifa aliyoipata Faith University ya Uturuki but nadhani huyu bwana anatambulika kimataifa kuliko kwenye nchi yake,

kwa maneno machache unaweza kusema Kikwete ni Rais wa Kimataifa,ukienda mbali zaidi unaweza kuona ni Rais asiye na mipaka ya Utawala...Yes! Anaongoza taifa gani?

Pole sana.

Mimi nakupa challenge, wewe na wenzako mjiunge, tutazame aliyoyafanya Kikwete katika Urais wake kwa miaka 9 tulinganishe na wote wa kabla yake, tuone nani ataibuka kidedea.

Anza.
 
Ukijiheshimu utaheshimika lakini kama yeye. hatendi anavyopaswa kutenda matokeo yake ndo haya kule znz katiba ilichezewa anakenua tu. nchi imekuwa maarufu kwa mihadarati yaleyale sheria imekuwa ya kibaguzi yaleyale,
 
Pole sana.

Mimi nakupa challenge, wewe na wenzako mjiunge, tutazame aliyoyafanya Kikwete katika Urais wake kwa miaka 9 tulinganishe na wote wa kabla yake, tuone nani ataibuka kidedea.

Anza.



Meno Ya Tembo, Madawa Ya Kulevya, Rushwa, Udhafu Katika Uongozi, Kucheka Cheka Pasipo Msingi, EPA, RICHMOND, ESCROW, OPERATION TOKOMEZA, TWIGA KWENDA ARABUNI, IKULU KUBEBA PESA KWA MAGUNIA, SHILING KUBAKWA NA US DOLA, NYUNA ZA SERIKALI KUUZIANA WENYEWE,
SERIKALI TUHUMIWA KUJIFANYIA UCHUNGUZI YENYEWE, RAIS WA KWANZA TZ SERIKALI KUWEKWA MFUKONI NA HARBINDER SING ,



FaizaFoxy ongezea hapo , Mpaka Hapo Tezi Dume Ameshinda
 
Last edited by a moderator:
mwenyewe kashindwa iheshimu hata pesa yake, anaiita ya madafu mi naanzaje kumuheshimu.
 
Meno Ya Tembo, Madawa Ya Kulevya, Rushwa, Udhafu Katika Uongozi, Kucheka Cheka Pasipo Msingi, EPA, RICHMOND, ESCROW, OPERATION TOKOMEZA, TWIGA KWENDA ARABUNI, IKULU KUBEBA PESA KWA MAGUNIA, SHILING KUBAKWA NA US DOLA, NYUNA ZA SERIKALI KUUZIANA WENYEWE,
SERIKALI TUHUMIWA KUJIFANYIA UCHUNGUZI YENYEWE, RAIS WA KWANZA TZ SERIKALI KUWEKWA MFUKONI NA HARBINDER SING ,



FaizaFoxy ongezea hapo , Mpaka Hapo Tezi Dume Ameshinda

Meno ya Tembo, tujadili:

Ujangili mkubwa kuliko wote iliyowahi kutokea ulianza kufanyika wakati wa Nyerere. Meno ya tembo, ni janga la dunia.

Kama ulikuwa hufahamu, Kikwete kwa kushughulikia hilo mpaka tuzo ya Kimataifa kapewa mwaka 2013:

President Kikwete of Tanzania has been given a conservation award by the US-based ICC Foundation, which has ties to the US Congressional International Conservation Caucus.


0L7C0932.jpg
​
The Ceremony was held in Washington D.C during the 2013 U.S.Congressional International Conservation Gala.ICCF's unparalleled network of conservation leaders in government,business and the NGO community has made tremendous advances in protecting the value of Africa's vast natural wealth for sustainable development

0L7C0915.jpg
​
The President and CEO of Wildlife Conservation Society Dr.Cristian Samper presents the US International Congressional Foundation ICCF Mhenga award to President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete in recognition for his outstanding leadership in conserving and protecting natural resources in Tanzania.Photo By Freddy Maro-State House

Kama hiyo haikutoshi hata WWF au World Wildlife Fund, kilitoa tuzo:

Jisomee: WWF awards Tanzania for conservation of wildlife resources | Africatime.

Kama hiyo hakutoshi, Mtoto wa Malkia Elizabeth, Prince Charles, kwa mkono wake na kwa mualiko wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliwapa Watanzania tuzo ya WWF kwa jitihada zao na uongozi mzuri wa Kikwete kuhusu kutunza Wanyama Pori, Prince Charles ndiyo Rais wa WWF:

Soma zaidi: WWF - Prince Charles honors communities in Tanzania for excellence in conservation

Sasa wewe niambie ni Rais yupi wa Tanzania wa kabla yake aliyekuwa "recognized" kwa mambo hayo mema?

​

​
soma zaidi:
 
Mwanzisha Mada nadhani unataka kuona ni namna gani Watanzania walivyo na hasira pale maslahi mapana ya Taifa lao yanapochezewa na kukosa usimamizi kutoka Kiongozi wao Mkuu waliyemwamini lakini haonyeshi kukidhi Matarajio yao.
Kinachoonekna hapa ni uhalisia hadhi ya Rais mbele ya Wapiga kula kwamba ameshindwa kukidhi Matarajio ya Watanzania walioamini kuwa angeweza kuwaongoza katika kupambana na change moto zinazokabiri Nchi yao.
 
Nimelazimika kuanzisha hii thread baada ya kuona watu wamesahau kuwa rais ni kiongozi mkuu kuliko wote katika nchi yoyote hapa duniani.

HIVYO basi tuna wa jibu si tu kumheshimu ila pia kumsaidia kulinda heshima yake daima.

Hakuna asiye juwa kuwa sisi wenyewe ndio tulimchagua kikwete kwa Kura nyingi huku tukiwa na akili timamu na bila kushawishiwa na mtu yeyote iwe kwa fedha au maneno.

Sasa kama tulikosea aibu ni yetu sisi wenyewe na haina maana sasa kuanza kumdharau kumkejeli au kumkosea heshima prof. Kikwete.

Mbona marekani china na nchi mbali mbali anaheshimika ? Mbona vyuo mbali mbali vinamtunuku shahada kila kukicha?

Sasa iweye sisi tusimheshimu?

Hili ni kosa pia ni dhambi kwa kuwa hata biblia inasisitiza tuwaheshimu viongozi wetu.

Pia tuache kumwita rais majina yasio faa

Mfano

Mh.tezi dume

Prof. Wa kichina

Naomba tubadilike.
rekebisha kauli,ulimchagua wewe na nani?
 
Mapenzi hayalazimishwi.... Kama ilivo heshima unajikuta tu unamheshim mtu.... Ss kwa mkwere hata unipake pilipili machoni bado sitapepesa macho kukudanganya etc simpendi na wala simheshim nchi imevurugika sana chini yake.... Badala akae kusolve issues ndo kwanza anasafiri kama mfanyabiashara
 
wanamuheshimu mafisadi
hivi kama chenge ana sababu gani ya kutomuheshimu kikwete?
_angekuwa rais mwingine si chenge alipaswa awe lupango?
mafurikoyamoto
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom