Heshima kitu cha bure tumheshimu Raisi wetu

Heshima kitu cha bure tumheshimu Raisi wetu

Nimelazimika kuanzisha hii thread baada ya kuona watu wamesahau kuwa rais ni kiongozi mkuu kuliko wote katika nchi yoyote hapa duniani.

HIVYO basi tuna wa jibu si tu kumheshimu ila pia kumsaidia kulinda heshima yake daima.

Hakuna asiye juwa kuwa sisi wenyewe ndio tulimchagua kikwete kwa Kura nyingi huku tukiwa na akili timamu na bila kushawishiwa na mtu yeyote iwe kwa fedha au maneno.

Sasa kama tulikosea aibu ni yetu sisi wenyewe na haina maana sasa kuanza kumdharau kumkejeli au kumkosea heshima prof. Kikwete.

Mbona marekani china na nchi mbali mbali anaheshimika ? Mbona vyuo mbali mbali vinamtunuku shahada kila kukicha?

Sasa iweye sisi tusimheshimu?

Hili ni kosa pia ni dhambi kwa kuwa hata biblia inasisitiza tuwaheshimu viongozi wetu.

Pia tuache kumwita rais majina yasio faa

Mfano

Mh.tezi dume

Prof. Wa kichina

Naomba tubadilike.

Nchi yenye demokrasia na uhiru wa kijieleza inaheshimu uhuru wa wananchi kiamua kutomheshimu rais.

Ndiyo maana unaweza kuona rais Obama anatoa hotuba, mtu wa kawaida tu anamkatisha na kumzodoa, halafu Obama anasema muachieni, ni haki yake ya kikatiba ya kujieleza.

Kama hujajua hilo bado hujajua maana ya uhuru wa kujieleza.
 
Nimelazimika kuanzisha hii thread baada ya kuona watu wamesahau kuwa rais ni kiongozi mkuu kuliko wote katika nchi yoyote hapa duniani.

HIVYO basi tuna wa jibu si tu kumheshimu ila pia kumsaidia kulinda heshima yake daima.

Hakuna asiye juwa kuwa sisi wenyewe ndio tulimchagua kikwete kwa Kura nyingi huku tukiwa na akili timamu na bila kushawishiwa na mtu yeyote iwe kwa fedha au maneno.

Sasa kama tulikosea aibu ni yetu sisi wenyewe na haina maana sasa kuanza kumdharau kumkejeli au kumkosea heshima prof. Kikwete.

Mbona marekani china na nchi mbali mbali anaheshimika ? Mbona vyuo mbali mbali vinamtunuku shahada kila kukicha?

Sasa iweye sisi tusimheshimu?

Hili ni kosa pia ni dhambi kwa kuwa hata biblia inasisitiza tuwaheshimu viongozi wetu.

Pia tuache kumwita rais majina yasio faa

Mfano

Mh.tezi dume

Prof. Wa kichina

Naomba tubadilike.

Jiheshimu utaheshimiwa na si vingenevyo.

mafurikoyamoto , post yako imekaa kizembe sana, na ndiyo maana nimeona niweke quote ya jibu rahisi toka kwa memba Salary Slip hapo juu.

JK angekuwa mtu makini angevuna heshima zote za watu wake, lakini katika utawala wake ameonekana kuwa rais asiyefuata utaratibu kiuongozi, mzembe, mswahili, hakai ofisini, yeye ni kiguu na njia kwenda ulaya.

Kwa ujumla hakuna kitu ameweza kukifanya seriously na kukifikisha tamati yenye heshima kwa anaowaongoza.
Mambo ni uhuni uhuni tu, tazama mchakato wa katiba, udhibiti wa rushwa, sasa wizi mkubwa mkubwa!

Sasa hebu tuambie, aheshimiwe kwa lipi?
Kwa sababu ana maguvu sana au kwa vile ameongoza tu.
Kweli kwa heshima ya utu anastahili, kama mkulu mwingine yeyote, lakini historia itamhukumu kwa kumalizia na escrow.
Hata hivyo anao muda kuzoa maziwa yaliyomwagika, ila hayatakuwa masafi.
 
Last edited by a moderator:
Mh. Tezi Dume,,, hahahahahhaha si vyema kumtusi namna hii..unadhani familia yake ikiona matusi haya itahisi vipi, ingekuwa wewe babako anatusiwa ungehisi vipi?
Tuwaheshimu viongozi wetu na tuwachague awamu nyingine watuletee maendeleo.tuwe na imani kwa mheshimiwa JK. Kura yangu unayo kikwete
 
Nimelazimika
kuanzisha hii thread baada ya kuona watu wamesahau kuwa rais ni kiongozi
mkuu kuliko wote katika nchi yoyote hapa duniani.

HIVYO basi tuna wa jibu si tu kumheshimu ila pia kumsaidia kulinda
heshima yake daima.

Hakuna asiye juwa kuwa sisi wenyewe ndio tulimchagua kikwete kwa Kura
nyingi huku tukiwa na akili timamu na bila kushawishiwa na mtu yeyote
iwe kwa fedha au maneno.

Sasa kama tulikosea aibu ni yetu sisi wenyewe na haina maana sasa kuanza
kumdharau kumkejeli au kumkosea heshima prof. Kikwete.

Mbona marekani china na nchi mbali mbali anaheshimika ? Mbona vyuo mbali
mbali vinamtunuku shahada kila kukicha?

Sasa iweye sisi tusimheshimu?

Hili ni kosa pia ni dhambi kwa kuwa hata biblia inasisitiza tuwaheshimu
viongozi wetu.

Pia tuache kumwita rais majina yasio faa

Mfano

Mh.tezi dume

Prof. Wa kichina

Naomba tubadilike.

So what? Hospitali hakuna dawa then unasema tumheshimu.
 
Nimelazimika kuanzisha hii thread baada ya kuona watu wamesahau kuwa rais ni kiongozi mkuu kuliko wote katika nchi yoyote hapa duniani.

HIVYO basi tuna wa jibu si tu kumheshimu ila pia kumsaidia kulinda heshima yake daima.

Hakuna asiye juwa kuwa sisi wenyewe ndio tulimchagua kikwete kwa Kura nyingi huku tukiwa na akili timamu na bila kushawishiwa na mtu yeyote iwe kwa fedha au maneno.

Sasa kama tulikosea aibu ni yetu sisi wenyewe na haina maana sasa kuanza kumdharau kumkejeli au kumkosea heshima prof. Kikwete.

Mbona marekani china na nchi mbali mbali anaheshimika ? Mbona vyuo mbali mbali vinamtunuku shahada kila kukicha?

Sasa iweye sisi tusimheshimu?

Hili ni kosa pia ni dhambi kwa kuwa hata biblia inasisitiza tuwaheshimu viongozi wetu.

Pia tuache kumwita rais majina yasio faa

Mfano

Mh.tezi dume

Prof. Wa kichina

Naomba tubadilike.
Nimekutana na mkandarasi wa kibongo ambaye hajalipwa , matusi yake yalikuwa.....XXXXQQ##%$$$$$$,...***^+QKKMMMYYY...QQQZXZZ.??
 
Nimelazimika kuanzisha hii thread baada ya kuona watu wamesahau kuwa rais ni kiongozi mkuu kuliko wote katika nchi yoyote hapa duniani.

HIVYO basi tuna wa jibu si tu kumheshimu ila pia kumsaidia kulinda heshima yake daima.

Hakuna asiye juwa kuwa sisi wenyewe ndio tulimchagua kikwete kwa Kura nyingi huku tukiwa na akili timamu na bila kushawishiwa na mtu yeyote iwe kwa fedha au maneno.

Sasa kama tulikosea aibu ni yetu sisi wenyewe na haina maana sasa kuanza kumdharau kumkejeli au kumkosea heshima prof. Kikwete.

Mbona marekani china na nchi mbali mbali anaheshimika ? Mbona vyuo mbali mbali vinamtunuku shahada kila kukicha?

Sasa iweye sisi tusimheshimu?

Hili ni kosa pia ni dhambi kwa kuwa hata biblia inasisitiza tuwaheshimu viongozi wetu.

Pia tuache kumwita rais majina yasio faa

Mfano

Mh.tezi dume

Prof. Wa kichina

Naomba tubadilike.

Utakuwa umetumwa. Marekani,china anaheshimiwa wana maslah naye. Kama ni heshima aweke mambo sawa nyumbani ndio heshima irud. Kumbuka heshima inakuja automatcally na haiommbwi mkuu. Nyerere aliomba kwa nan aheshimiwe?
 
Heshima is always a two way traffic. Usipowaheshimu wale waliokupa dhamana ya kuwaongoza kwa kulinda maslahi yao na ya nchi yao, basi kamwe hustahili heshima. Tumeona madudu kila mwaka ya kukwepa kulipa kodi shilingi 1.5 trllioni kila mwaka, Escrow shilingi 321 billion, Rada $12 million, EPA $133 million, Kagoda, Meremeta $155 million, kuanguka kwa elimu na madudu mengine chungu nzima ikiwemo kugawana rushwa ndani ya Ikulu. Unapokuwa mnafiki, mwizi, fisadi hustahili heshima.
 
Demokrasia imekua Tanzania, baadae tutafunguka na kuongea mambo ya maana.

Rais ajae awe na hadhari asikandamize uhuru huu
 
ni kweli aise tunautumia vibaya sana huu uhuru wa kuongea,
mi nadhani hadi apa tulipofika tunaitaji rais ajae awe na udicteta kidogo ili tukumbushwe kueshimu viongozi wetu
 
mi sidhani kama ni kweli kuwa rais wetu hawaeshimu wanaichi wake kama watu wanavyo comment apa jf ila ukweli ni kuwa Rais wetu ni mpole sana na ni mtu alienyimwa hasira na gadhabu
hayo ndio mapungufu yake aliyozaliwa nayo ambayo ni ya kawaida na yanayovumilika, kwani kila mtu apa duniani ana mapungufu yake, tena labda mapungufu yako wewe ni mabaya ya kwenda motoni kbsa
 
Heshima haiombwi inakuja yenyewe kwajinsi unavyojiweka mbele ya jamii,wewe kama kwenye familia yako ukiwa unawaambia watoto wa kuheshima wewe ndio baba/mama basi ujue unamatatizo maana automatically lazima wakuheshimu.
Tatizo la tezi dume ni yeye mwenyewe anavyojiweka mbele ya umma akiwa serious watu watamuheshimu ila akiendeleza mipasho yake atarajie majina mengi zaidi.
 
Sure heshima kwa mkuu wa nchi ni muhimu na mjina kama tezi dume ni bora kuyawacha kwa kuwa kwanza huo ni ugonjwa ambao twajua ni mtihani wa muumba na ni kumkosea muumba kumdhihaki mgonjwa hata kama tutakuwa twamchukia kiasi gani. Msaada ambao tunatakiwa tumpe ni kumnyima kura tu basi.

Umetia huruma wewe! Sawa. Tusubiri Oktoba mwakani basi.
 
Na mwenyekiti wenu Mbowe anayeshindwa hata kujenga ofisi licha ya kupewa zaidi ya milioni 709 fedha za ruzuku kila mwezi mnamchukuliaje?

Ni kweli mkuu, nadhan tuache jazba na tuuseme ukweli ulivyo. Nadhan hapo unatafuta escape route, ki ukweli kabisa rais wetu ameshindwa kujijengea heshima kwa kufumbia macho uchafu. Nachelea kusema, kwa tabia hii, siyo dhambi kumhusisha moja kwa moja na uchafu huu.
NAAM, RAIS KIKWETE NI DHAIFU
 
Back
Top Bottom