aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,227
Inashangaza kuona dhambi zinatakaswa na kuwa ni sehemu ya maisha au niseme haki .
Kama unajua dhamana aliyonayo,tena aliapa kwa kitabu kwamba atalinda katiba ya nchi. Watu wameweka matumaini kwakwe.Hakuna raisi aliyewahi kupendwa kama kikwete.heshima amejichafulia mwenywe.Hata Mwenyezi Mungu analiona hilo.
Kwahiyo tusiandike ujinga hapa mkitaka sympathy kwa mambk ambayo yanagusa mustakabali wa nchi.
Kikwete amepoteza legitimacy ya uongozi na he should resign .