Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,908
- 3,231
Nchi inaongozwa kwa misingi ya demokrasia. Kama mnaona wana makosa muwapeleke mahakamani
Hivi wewe ni mzima kweli? Uwapeleke mahakamani wakati rais kawasamehe?
Nchi inaongozwa kwa misingi ya demokrasia. Kama mnaona wana makosa muwapeleke mahakamani
mkomentie tako weweKwa hadhi yako hapa JF hustahili kucomment kiasi hiki
Tatizo la Mh. Tezi dume ni uhuni! Hanywi pombe ila anapenda sana alikotokea.Nchi inaongozwa kwa misingi ya demokrasia. Kama mnaona wana makosa muwapeleke mahakamani
Nchi inaongozwa kwa misingi ya demokrasia. Kama mnaona wana makosa muwapeleke mahakamani
anasemehe wizi wa mali zetu bado unataka tumuheshimu haiwezekani kama ni dhaifu tutasema udhaifu wakeHivi wewe ni mzima kweli? Uwapeleke mahakamani wakati rais kawasamehe?
Nchi inaongozwa kwa misingi ya demokrasia. Kama mnaona wana makosa muwapeleke mahakamani
Nimelazimika kuanzisha hii thread baada ya kuona watu wamesahau kuwa rais ni kiongozi mkuu kuliko wote katika nchi yoyote hapa duniani.
HIVYO basi tuna wa jibu si tu kumheshimu ila pia kumsaidia kulinda heshima yake daima.
Hakuna asiye juwa kuwa sisi wenyewe ndio tulimchagua kikwete kwa Kura nyingi huku tukiwa na akili timamu na bila kushawishiwa na mtu yeyote iwe kwa fedha au maneno.
Sasa kama tulikosea aibu ni yetu sisi wenyewe na haina maana sasa kuanza kumdharau kumkejeli au kumkosea heshima prof. Kikwete.
Mbona marekani china na nchi mbali mbali anaheshimika ? Mbona vyuo mbali mbali vinamtunuku shahada kila kukicha?
Sasa iweye sisi tusimheshimu?
Hili ni kosa pia ni dhambi kwa kuwa hata biblia inasisitiza tuwaheshimu viongozi wetu.
Pia tuache kumwita rais majina yasio faa
Mfano
Mh.tezi dume
Prof. Wa kichina
Naomba tubadilike.