Heri ya X-MAS wakuu wote wa JF

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,831
1,164
Kesho asubuhi mimi na familia yangu tutaanza safari ya kuelekea nyumbani (Komuge) kuungana na familia za kaka na dada zangu kusherehekea sikukuu za X-mas na Mwaka Mpya. Inawezekana tusiwe tunawasiliana na kuonana jamvini mara kwa mara kama ilivyokuwa kawaida hasa ukizingatia matatizo ya network yaliyopo vijijini. Vyovyote itakavyokuwa naomba niwatakie HERI ya sikukuu zote mbili zinazokuja yaani X-MAS na MWAKA MPYA wa 2012.
 
Sante mwita! Nakuombea uwe na safari njema pamoja na familia yako. Msherehekee kwa amani na utulivu sikukuu zote(x'mas na mwaka mpya)
 
Nashukuru sana....Nakutakia sikukuu njema pia.M'Mungu awaongoze muende salama na mrudi salama...Tungependa kukuona tena humu JF!
 
Asante mwita25,nakutakien safari njema,mungu awatangulie mfike salama na msherekee kwa aman na furaha x-mass na mwaka mpya!
 
Lady Gaga is one of my favorite divas. Others in the list are Rihanna, Beyonce, Kelly Rowland and Lady Jaydee.
 
Asante mwita25,nakutakien safari njema,mungu awatangulie mfike salama na msherekee kwa aman na furaha x-mass na mwaka mpya!

Once Jesus is back make sure you let me know. I know you will not let me down, will you?
 
Asante sana Mwita25, na wewe pia... Mwaka mpya uwe wa furaha na mafanikio tele!
 
Nashukuru sana....Nakutakia sikukuu njema pia.M'Mungu awaongoze muende salama na mrudi salama...Tungependa kukuona tena humu JF!

Luis Suarez has been handed an eight-game ban for his racist remarks against Man U footballer Patrice Evra. Do you think he is treated fairy by the FA or he is yet another victim of harsh justice?
 
Safari njema mkuu Mwita; kumbuka kuleta kimoro wakati wa kurudi.:flypig:

The only thing I hate in life is people who meddle in others affairs. I once reproved my own mother simply because she attempted to pry into her son's life.
 
Nakutakia X-mass njema!!

Diego Maradona remains, in my view, the best footballer of all the time. However nobody should miscontrue my opinions as disparaging remarks to PELE.
 
Back
Top Bottom