Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,087
hahahahah:lol::lol::lol::lol: kumbe unamjua??Subiri aje uone atakavokujibu..lol
hahahahah:lol::lol::lol::lol: kumbe unamjua??Subiri aje uone atakavokujibu..lol
Duh!!!! mi nilikuwa nasubiria THANKS yangu...nashangaa habari za futiboli!!Diego Maradona remains, in my view, the best footballer of all the time. However nobody should miscontrue my opinions as disparaging remarks to PELE.
Duh!!!! mi nilikuwa nasubiria THANKS yangu...nashangaa habari za futiboli!!
Hahaha!..mwita25 hana mpinzani Rejao hivyo lazima nimjue...hahahahah:lol::lol::lol::lol: kumbe unamjua??
The guy in actual fact is cantankerousThe quintessence of retardation, in case you didn't know.
Lol...huyo ndio mwita25 bana, akitokea mwingine photocopy..Duh!!!! mi nilikuwa nasubiria THANKS yangu...nashangaa habari za futiboli!!
Duh..nimeamini maneno yako sasa...hana maana kabisa huyu!!Hahaha!..mwita25 hana mpinzani Rejao hivyo lazima nimjue...
Hujambo weye?
Mie pia nimekumiss sana, maandalizi yako poa kabisa...mungu akipenda karibu moshi mwaya..Duh..nimeamini maneno yako sasa...hana maana kabisa huyu!!
NIpo poa kabisa ma dia...nimekumiss tu! Maandalizi ya sikukuu vp?
He!! kumbe utakuwa moshi? na mimi nitakuja huko....nitegemee by friday! Moshi sehemu gani?Mie pia nimekumiss sana, maandalizi yako poa kabisa...mungu akipenda karibu moshi mwaya..
Nakuombea ufike salama salimini. Mie ntakuwepo pande za kibosho, wewe je? Karibu sana!He!! kumbe utakuwa moshi? na mimi nitakuja huko....nitegemee by friday! Moshi sehemu gani?
Kibosho ipi? Umbwe, Mango, Singa, Lyamungo, KifuniNakuombea ufike salama salimini. Mie ntakuwepo pande za kibosho, wewe je? Karibu sana!
Ha ha ha! Umbwe! Wewe je utakuwa pande zipi?Kibosho ipi? Umbwe, Mango, Singa, Lyamungo, Kifuni
dah!! kumbe Umbwe? mimi pia ni wa pande za huko...karibu na hapo KichareHa ha ha! Umbwe! Wewe je utakuwa pande zipi?
Kesho asubuhi mimi na familia yangu tutaanza safari ya kuelekea nyumbani (Komuge) kuungana na familia za kaka na dada zangu kusherehekea sikukuu za X-mas na Mwaka Mpya. Inawezekana tusiwe tunawasiliana na kuonana jamvini mara kwa mara kama ilivyokuwa kawaida hasa ukizingatia matatizo ya network yaliyopo vijijini. Vyovyote itakavyokuwa naomba niwatakie HERI ya sikukuu zote mbili zinazokuja yaani X-MAS na MWAKA MPYA wa 2012.
Anaondokana na Free internet ya ofisini...lazima aage mapema!!!Labda hicho kijiji hakipo Tanzania hata kisiwe na network.
Lol, acha masikhara kama ya mwita25 bana.dah!! kumbe Umbwe? mimi pia ni wa pande za huko...karibu na hapo Kichare
Ukiona hivyo ujue anakutafutia jibu la kufungia mwaka.mbona uliwajibu watu wote alafu mi ukanipotezea? tuna ugomvi?
Serious...unapafahamu kichare? wazee wangu wengi wanaishi karibu na hilo shamba kubwa(Sibiro) but sisi ndio tukakimbilia huko kichare. Vp wewe? Ni wa maeneo yapi?Lol, acha masikhara kama ya mwita25 bana.