Mwita25
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 3,831
- 1,164
- Thread starter
- #61
Samahani kaka. Nimekoma, sitauliza tena.
Ila kwa mtazamo wangu hiyo ya sunday ungeirudisha friday ili asipate mfululizo sunday na monday. ni maoni yangu tu.
Tutafanyia kazi mawazo yako lakini ni lazima tuwasiliane na wazazi wa pande zote mbili kwanza kabla ya kufanya mabadiliko yoyote kwenye hiyo ratiba.