BrownEye
Member
- Jul 31, 2007
- 84
- 1
SteveD. said
Labda nyongeza tu kwa dada jn,
Kujituma kusiishie kwenye mambo ya chumbani tu kama wengine wanavyoshauri.... hiyo probation inaweza kabisa kuwa inapima pia msimamo na prospect yako ya baadae katika maisha yako. Yaani mawazo yako katika jamii, mchango wako katika jamii, na mengineyo... kwani unaweza kukuta mtu anakupenda zaidi wewe si kwa jinsi ulivyo 'mtukutu chumbani', bali ni kwa jinsi unavyoweza kusimama na kusaidia watoto/watu wasiojiweza/walemavu n.k. katika jamii yako ukilinganisha na uwezo wako.
Naona kama ulikuwepo hapa mezani kwangu nikiandika my post. Asante sana kwa hints