Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 1,310
- 3,202
Unajua kufukua mambo haya hajaolewa mpaka sasa bado mchizi anasikilizia michongohelow,, upo utusimulie kama alikuoa au uli move on,,, kumbe vijana wa hovyo walikuepo toka enzi za kale saivi ni muendelezo tu
