Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,057
- 2,637
mh!sisemi neno
Utawezaje kusema neno? sikulala
mh!sisemi neno
@ Saharavoice acha wivu inaelekea Kimey alipanda dau zaidi.. Haku tikisika mpaka muda wa mwisho...
Utawezaje kusema neno? sikulala
@ Saharavoice acha wivu inaelekea Kimey alipanda dau zaidi.. Haku tikisika mpaka muda wa mwisho...
kama hukulala ni vema maana ulipata muda mzuri wa kutafakari,,hahaha,,njoo nikupooze
dah! Siku ya jana imeweka mark kny maisha yangu,,nitaikumbuka cku zote!nakosa maneno mazuri ya kusema ila kifupi nilfurahi,,,,safari iko pale pale tutawasiliana
@ Saharavoice acha wivu inaelekea Kimey alipanda dau zaidi.. Haku tikisika mpaka muda wa mwisho...
Kimey alidhiti kisawasawa na ndg.yako alikuwa mpole mpaka nikamwonea huruma nikampa FL.wa maukweli akaona muziki mkubwa akaaga zake kwenda home na H. Method akapandisha bendera ya ushindi.
Halafu mi nahama huku sio kwangu, nimedandia treni kwa mbele
Wapi!? hapa utarudi tu na huko unakokwenda tutakutana tu kaka ila roho inaniuma kama WL alikuja kwako maana nilimwacha huku naangalia nyuma.
Hahaha nikimbie mji? Nipo na my wiselady hapa anikanda wakati supu inachemka jikoni!Bendera ipi alipandisha wakati aliniletea nyumbani mwenyewe tena kwa escort ya nguvu.
Kimey alishindwa ndo maana kakimbia mji leo asubuhi
Waambie hao mamaa hawana lolote! Mi na wiselady mpaka kifo.@ Saharavoice acha wivu inaelekea Kimey alipanda dau zaidi.. Haku tikisika mpaka muda wa mwisho...
Hahaha nikimbie mji? Nipo na my wiselady hapa anikanda wakati supu inachemka jikoni!
Hahaha nikimbie mji? Nipo na my wiselady hapa anikanda wakati supu inachemka jikoni!
Habari yake Derimto! Hapa wote ni hangover tu! Kuamka jioni.Hata cjaiona hii na kama ni kweli mchango wangu ni kufunga mdomo zaidi.
Kimey hebu waamshe hao waambie nawamic mbaya kabisa
Nilikuwa sijapata net but now nimekaa vizuri nakuletea vingine vizuri ambavyo ni vya masharti nafuu maana si unajua kuwa shehe Yahaya hussen amefukuzwa moroni atakupunguzia bei uwe kama mkwere utashinda mama
Pole kaka maana huyu mtoto kashakolea na hataki hata kukusikia mbona unaleta mbu kaka hakuna rufaa hapa pole we