Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,563
- 44,354
Ni upuuzi ati kisa wengine hawana.Laki 6 ni pesa ya kushukuru kisa wengine ni jobless????
Inabidi mdau ajiangalie na kujitathmini yeye.
Ni upuuzi ati kisa wengine hawana.Laki 6 ni pesa ya kushukuru kisa wengine ni jobless????

Wewe nishakuambia kitaani sio kugumu kwa wote
Weka asilimia 80 ya mshahara wako wa kuanzia. Usilinganishe miaka ya kuwa shuleni, mbona hujalinganisha qualifications zilizowapeleka chuo?Sisi wanafunzi tulisoma Bsc in Clinical nutrition & Diabetics tunaomba serikali pamoja na baraza la Madaktri (MCT) wakae na kupitia muundo wetu wa Mishahara haiwezekani nisome miaka 4 alafu internship nilipwe 600,000/= kiwango hiki cha malipo kinatokana na nini?
Ikiwa wenzetu wanao soma Bsc in Pharmacy miaka 4 wanapoenda internsship walipwe tofauti na sisi,,, na muundo mpya upo tangu 2023 kwanini hautumiki kwa sisi kada mpya za afya ??
Umetisha sana Bro 🫡Ukubwa sio sababu , laki sita kwa mtoa mada ni ndogo , na watu kuwa jobless sio sababu ya watu kutolipwa stahiki zao
Naomba kwa heshima nikukosoe, sema watu tunasota mmojawapo mimi napata laki mbili kwa mweziNakwambia hali sio shwari..! Tutajisifia tu hapa ila deep down watu wanasota aisee!
Kwa hiyo kisa watu wanalalamika wanalipw 250000 yeye asidai stahiki zake? Unafahamu kwa nini internship za afya kwa nini wanapaswa kulipwa vizuri zaid?Si uache tu hiyo kazi km haitoshi upige mishe zingine km unazo.
Umelazimishwa,wenzio walikua wanalalamika hapa wanalipwa 250000 tu kwa mwezi tar 45.
We uko kazi ya kuanzia kilo 6.
Baada ya mwaka una 850,miaka 2 1.5.
Sasa we unataka uanze hizo intern(practic) na mshahara mkubwa.
Boya kwelikweli
Watu wa afya wanalipwa pesa ndogo mno kulingana na majukumu yao kwa sababu hizi hizi za kulinganisha nawatu wengine wanao lipwa kiduchuNi upuuzi ati kisa wengine hawana.
Inabidi mdau ajiangalie na kujitathmini yeye.
Acha,Kwa hiyo kisa watu wanalalamika wanalipw 250000 yeye asidai stahiki zake? Unafahamu kwa nini internship za afya kwa nini wanapaswa kulipwa vizuri zaid?
Daah 😁😁😁Acha,
uone km atakosekana mtu wa kufanya.
Na si uko nao hapo kawaambie live mwenyewe.
Ndio maana mnapata huduma za afya mbovu 🚮 huku mwenye mamlaka wakipata huduma bora kwenye hospital bora ambazo wafanyakazi hulipwa vizuri 🚮Acha,
uone km atakosekana mtu wa kufanya.
Na si uko nao hapo kawaambie live mwenyewe.
Acha mapema hiyo kazi ni wito km ualimu.Ndio maana mnapata huduma za afya mbovu 🚮 huku mwenye mamlaka wakipata huduma bora kwenye hospital bora ambazo wafanyakazi hulipwa vizuri 🚮
wakikujibu ni tag mkuu.Hao wa Bpharm wanalipwa kiasi Gani mkuu?
Sijaongelea binafsi yangu hapo wala kazi ninayoifanya hakuna sehemu nimeitaja. Ila sekta nyeti kama ya afya kuboresha huduma kila wakati na maslahi ya watumishi ni jambo muhimu mno .Acha mapema hiyo kazi ni wito km ualimu.
Ushatangaza kutoa huduma mbovu kimaslahi unaenda kuua wangapi huko?
Bora uache tu au utaachishwa mapema tu
Sometimes ajira za serikali kutolewa randomly kama fadhila pasipo kuangalia competency ya mtu ndio inasababisha madaktari kulipwa kidogo.Watu wa afya wanalipwa pesa ndogo mno kulingana na majukumu yao kwa sababu hizi hizi za kulinganisha nawatu wengine wanao lipwa kiduchu
Mtu ana ratiba ya kuacha usingizi wake saa nane ya usiku , kuhudumia wagonjwa halafu anatokea kilaza anae lala na kujamba mda huo anataka alingane nae mshahara?Sometimes ajira za serikali kutolewa randomly kama fadhila pasipo kuangalia competency ya mtu ndio inasababisha madaktari kulipwa kidogo.
By the way, 600k mtu kudai sio shida ila je anachokidai kinaendana na value aliyonayo. Hilo ndio tatizo japo naelewa serikalini, kinachoangaliwa ni nafasi na miaka ya kazi ila sio contribution ya mtu. Kwa angle hiyo, namuelewa kijana
Kwa minajili hiyo bhasi walinzi na wanajeshi wangelipwa zaidi maana wanafanya kazi almost 24/7. Kipindi ambacho wengi wamelala..Mtu ana ratiba ya kuacha usingizi wake saa nane ya usiku , kuhudumia wagonjwa halafu anatokea kilaza anae lala na kujamba mda huo anataka alingane nae mshahara?
Sera zipitiwe upya ,hawa watu wenye dhamana ya maisha ya watu wanatakiwa wasiwe na stress kabisa