Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 11,308
- 33,939
Khee! Vita ni vita muraš¤£Hakuna
Khee! Vita ni vita muraš¤£Hakuna
Kalokole weweKhee! Vita ni vita muraš¤£
Ndio nimeokoka nampenda Bwanaš„¹Kalokole wewe
OK endelea kumpendaNdio nimeokoka nampenda Bwanaš„¹
Laki sita unaiona ndogo? Tuwe na shukurani.Laki 6 ni pesa ya kushukuru kisa wengine ni jobless????
Kwa hiyo watu wasidai haki yao kisa wengine ni jobless?Laki sita unaiona ndogo? Tuwe na shukurani.
Laki sita unaiona ndogo? Pia sina uhakika kama hajalipwa.Kwa hiyo watu wasidai haki yao kisa wengine ni jobless?
Mtoa mada anadai kutokana na alichosomea ni ndogo , binafsi laki sita kwa mwezi ni ndogo ndioLaki sita unaiona ndogo? Pia sina uhakika kama hajalipwa.
Usikute nabishana na mtoto hapa. Anyways ni sawa wahusika wataona.Mtoa mada anadai kutokana na alichosomea ni ndogo , binafsi laki sita kwa mwezi ni ndogo ndio
Hata si tumesoma bhn!Mtoa mada anadai kutokana na alichosomea ni ndogo , binafsi laki sita kwa mwezi ni ndogo ndio
Mnaweza msome ila malipo lazima yawe tofautiHata si tumesoma bhn!
Ukubwa sio sababu , laki sita kwa mtoa mada ni ndogo , na watu kuwa jobless sio sababu ya watu kutolipwa stahiki zaoUsikute nabishana na mtoto hapa. Anyways ni sawa wahusika wataona.
Kwamba yeye intern yake ni ya elimu kubwa au?Mnaweza msome ila malipo lazima yawe tofauti
Wewe unaonaje?Kwamba yeye intern yake ni ya elimu kubwa au?
Kwani yeye anayo, si kujifanya much know hapa JF tuLaki sita unaiona ndogo? Tuwe na shukurani.
Kwani unadhani ni mtu mzima huyo! Kujisifia ulevi kila siku ni akili za kitoto tuUsikute nabishana na mtoto hapa. Anyways ni sawa wahusika wataona.
Yeye ashukuru tu hta kwa hicho! asubiri ajira kamili, mambo yalivyo sasa kwa wanaosubiri ajira tu ana unafuu kulinganisha na soko la ajira nchini!Wewe unaonaje?
Wengine tunalipwa laki mbili kwa mwezi tu. Seran kajisemea ukweliUsipende kufuatilia mishahara posho za watu wengine, shukuru umepata hiyo laki 6 ya internship, wengine tulianza na internship za kulipwa takehome ya 328,000. Ila kwa kuwa tulikua tunajua tulipokuwa tunaelekea tulikomaa na tulikuwa tumesoma miaka minne engineering.
BTW kusoma miaka minne sio kitu special as long as uliona unauwezo wa kusoma miaka hiyo