min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,857
- 128,861
Hiyo ianze kwanzia ngazi ya uraisi , kipindi cha magufuli mbona watu walipa kazi?Kwa minajili hiyo bhasi walinzi na wanajeshi wangelipwa zaidi maana wanafanya kazi almost 24/7. Kipindi ambacho wengi wamelala..
Sisemi pia watu wa kada ya afya wasilipwe vizuri ila ningetamani system iwe competence based , vipaksa wapatikane na walipwe kwa thamani yao, na si kutegemea profession tu maana kama ulijua ni kazi gani unaisomea, na umeipata. Sioni kama kuna cha kuanza kulaumu unless contribution yako na compesation haviendani.