CreativeSanta
Member
- Aug 26, 2026
- 16
- 18
Siamini kwamba kazi ya marketing ni kufanya tu watu waione brand
Marketing inapaswa kutengeneza mahitaji/demands
Sales inapaswa kubadilisha mahitaji hayo kuwa mauzo
Operations inapaswa kutimiza ahadi iliyotolewa
Na mteja anapaswa kuwa na sababu ya kurudi tena
Hii misingi minne inapofanya kazi kama mfumo mmoja, marketing inaacha kuwa idara inayotumia pesa na inakuwa injini ya ukuaji inayozalisha mapato